Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Naomben ushaur nimuoe au nimuache tu Nimepata mchumba mdogo tu miaka 19 katulia Hana mambo mengi na bado hamjui mwanaume yan bikra kabsa na yupo tayari kuolewa ni mtu wa kondoa ni mrembo sana...
9 Reactions
51 Replies
651 Views
Kama unabisha azima simu kwa waislamu watano wanaopenda kusikiliza nyimbo, lazima tu utakutana na kwaya kadhaa. Kwa upande wa Wakristo Kati ya 100 hutapata qaswida hata mmoja. Kati ya harusi 100...
2 Reactions
13 Replies
156 Views
Habarin wa JF natumaini mko powah kabisa Huyu fundi simu amenishangaza sana mpaka nimeona nilete uzi huu kwa wale wahanga wa simu mbovu mnao shinda kwa mafundi iko hivi mimi nina jamaa yangu...
21 Reactions
138 Replies
4K Views
Godoro zipo katika daraja tatu kama vitu vingi vilivyo hapa duniani sio kila godoro linafaa kulaliwa na mtu yeyote. Mfano wale wanene ana godoro lake huyo ukichukua lenye ujazo mdogo lazima tu...
9 Reactions
73 Replies
5K Views
Kuhusu ajira tulisikia kuwa kibali kimeshatoka kwa Rais, sasa mbona bado wapo kimya wakati tunakaribia mwaka wa kiserikali na bajeti mpya kuanza kazi
3 Reactions
18 Replies
397 Views
Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli...
6 Reactions
271 Replies
4K Views
Bila kupoteza muda mimi nimekuwa sipendi na nawachukia mademu wafupi kama nyundo aka mbuti from ituri forests! Kwanza hata ukitembea naye barabarani haileti mvuto kabisa hata kumpiga kiss lazima...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Imefikia kipindi nikiona tu sio wewe unayesoma taarifa ya habari basi naondoka au nabadilisha channel. Na nilivyo mgonjwa wa big nyashi, sehemu muhimu zaidi kwangu ni pale unapogeuka na kutembea...
19 Reactions
96 Replies
1K Views
Mfumo wa Ajira Nchini kwetu umeshindikana kabisa hasa kwa tusio na Koneksheni kabisaa! Mfano: nimewahi kuitwa kwenye interview nyingi tu za serikalini ila zote zinafanywa kwa ushahidi tu ili wale...
7 Reactions
35 Replies
854 Views
Mwenzetu huyu kapigwa tukio
3 Reactions
4 Replies
213 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,176
Posts
49,822,029
Back
Top Bottom