Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwanza kabisa Tundu Lisu anashangaa watanzania kufurahia madhila aliyopitia ikiwemo kupigwa risasi wakati na yeye alikuwa anafurahia madhila iliyokuwa inapitia nchi ikiwemo kukamatwa kwa ndege na...
3 Reactions
48 Replies
691 Views
Habari zenu, Kama kichwa kinavyoonesha,nahitaji mume. Mimi ni mwanamke Mkristo umri wangu ni miaka 35. Kwa sasa nimeajiriwa taasisi binafsi. Nahitaji mwanaume anayejitambua, mkweli, mtafutaji...
0 Reactions
4 Replies
5 Views
  • Suggestion
Utangulizi Nchi yetu Tanzania, kama ilivyo katika mataifa mengi, vita dhidi ya uraibu wa kamari na vilevi vyenye kemikali maarufu kama "Visungura" imekuwa changamoto kubwa. Tatizo hili limekua...
6 Reactions
27 Replies
330 Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
230 Reactions
402K Replies
33M Views
Nawasalimu wote wanajukwaa,leo nataka tujifunze silaha kuu tano zinazotumika katika ulimwengu wa kiroho. Kama wengi tunavyojua kuwa katika ulimwengu wa kiroho kuna falme kuu mbili,falme ya kwanza...
121 Reactions
2K Replies
300K Views
Huwezi kusikia watu wanaokuja Dar kutokea Arusha au Moshi kwamba kwamba hawa siyo raia, wala huwezi kusikia watu wa Mbeya, Ruvuma kwamba hawa siyo raia wakati wapo mipakani. Ila linapokuja swala...
14 Reactions
84 Replies
1K Views
Tukiwambia Israel hana alichofanya zaidi ya kuonea watoto, wanawake, vizee, vijana wasio kuwa wanamgambo wa Hamasi mnasema oh Hamasi wanajificha kwenye nyumba za raia kama ni kweli maneno yenu...
7 Reactions
74 Replies
2K Views
Mji wa Same ni mdogo sana ila inashangaza ndani ya wiki tatu zilizopita zimeibiwa TV nyingi sana, je, zinakwenda wapi? Au zinauzwa wapi? Maeneo ya Sterling na Stesheni kwa mfano zimeibiwa TV nne...
0 Reactions
8 Replies
47 Views
  • Suggestion
Nguvu za giza inaweza ikawa uchawi, kulimishwa usiku, kurogwa ,kubebeshwa mikoba ya kifamilia na hata pia kutumiwa majini. Sababu kubwa inayosababisha wanafunzi kufeli katika masomo yao ni...
0 Reactions
1 Replies
9 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,276
Posts
49,824,837
Back
Top Bottom