Natumaini Mko Salama Wapendwa wa JF,
Huu ni Mtazamo wangu Binafsi Lakini kwa Namna Moja Ni Uhalisia Kwa Baadhi ya watu. Sisemi Kuwa Maisha Yangu Yameharibika Lakini Yamebadilika Mabadiliko...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huwaletea hizi makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa". Makala ya leo ni wito wa ustaarabu kwa Rais Samia, rais Samia Suluhu, sio malaika, ni...
Kuna fununu sana Arusha kwamba mtoto pendwa ndio anaichukua Hoteli ya Mount meru , na ikumbukwe pia kuna fununu za kuinunua Impala Hoteli ilio kuwa ya Bilionare Mrema. Sasa ni Mount Meru Hoteli...
BINTI YANGU NJOO NIKUAMBIE HAPA.
Mithali 20:7
[7]Mwenye haki aendaye katika unyofu wake, watoto wake wabarikiwa baada yake.
Haki katika ndoa yako ambayo Mungu amekupa hakikisha unaishi katika...
Habari zenu wapambanaji
Leo niko mbele yenu kutaka ushauri wa kimawazo kutoka kwenu ndugu zangu. Niko kwenye mpango wa kuingia kwenye kilimo kwa kumanisha hasa. Nina bajeti ya kiasi cha Tsh. 5M...
Vijana wengi wanatazama tv si kwa lengo la kupata elimu na habari muhimu,bali wanatazama kuiga mambo.Mf anatazama maigizo anajifunza kuharibikiwa maadili kama binti mdogo anaiga majibu ya...
1. Ukipewa simu kama unaoneshwa pengine picha, tazama kisha rudisha na sio kuendelea kutazama picha zingine.
2. Ukipiga simu kama haitopokelewa, tuma meseji na sio kupiga mara nyingi hususani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.