Wakuu habari?
Mchepuko wangu alinipa wazo moja la biashara, na katika kulitathmini likanishawishi na kunipa matumaini, kwa sababu kama nitalitekeleza kwa ufasaha, linaweza kutengeneza matawi hapa...
Asalaam,
Hawa viumbe, mimi huwa siwaelewi wanataka nini hasa ili kujenga amani na furaha kwa mara nyingi maana mara zote haiwezekani.
Wao ni watu wa mood swing, mimi siwezi kazana na hisia za...
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kwa mujibu wa nguli wa muziki wa dansi nchini, marehemu Remy Ongalla, muziki ni burudani, furaha, huzuni, nk. Hapa anamaanisha kuwa muziki ni...
Peace,
Itakushangaza lakini ndio ukweli, tupo katika zama za upendeleo na "kuinuliwa" kwa wanawake na fursa kede kede pasina shaka mimi na wewe tulitegemea ustawi wa wanamakae kiuchumi, kiroho...
Aisee naomba unisaidie kama unamjua mfanyakazi yeyote wa CRDB basi naomba nisaidie kumuulza haya maswali.
1. Nikiwa nataka kufungua account mpya ya CRDB naweza kupata card siku hiyo hiyo?
2...
Full name: Chelsea Football Club
Nickname(s): The Blues, The Pensioners
Founded: 10 March 1905
League: Premier League
Website: ChelseaFC.com
Ground: Stamford Bridge, (Capacity...
Awali "Y" alikuwa Wakili na aka attest nyaraka za Mzee "X". Hatimaye Tapeli "Z" akadhulumu kiwanja, kesi ikafunguliwa. Na kwa bahati mbaya ikaanguka kwa Jaji "Y" ambaye ndiye alikuwa Wakili wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.