1. Ukipewa simu kama unaoneshwa pengine picha, tazama kisha rudisha na sio kuendelea kutazama picha zingine.
2. Ukipiga simu kama haitopokelewa, tuma meseji na sio kupiga mara nyingi hususani...
Umuofia kwenu Wakuu.
Ni zaidi ya wiki sasa mwili wangu ni dhaifudhaifu. Yaani balansi ya mwili haijakaa sawa, japo ninaweza kufanya mambo yangu bila tatizo.
Nimepima vipimo zaidi ya 10 mpaka...
Muda si mrefu tutawapa na Serikali za mitaa wanavyoongezeka. Immigration fanyeni msako wa guest za Mbagala Zakhem kila Alhamisi mpaka Jumapili.
Hizi guest nyingi huhifadhi waethiopia wanaosubiria...
Wananchi wa Jimbo la Sengerema kata ya KISHINDA Kijiji cha TUNYENYE wamekaidi agizo la Mheshimiwa Mbunge wao Ndugu Hamis Tabasamu Mwagao kubomoa Nyumba zao kwa hiari.
Hii ni kutokana na...
Nadhani kama nchi, lazima tulishafanya study ya saikolojia na tabia za kabila, wilaya, mkoa wa nchi yetu. Hii inasaidia kiongozi akifika huko, anajua jinsi ya ku-deal na watu wa upande aliopo...
Erik Prince, afisa wa zamani wa Jeshi la Wanamaji la Marekani na mwanzilishi wa kampuni ya binafsi ya kijeshi ya 'Blackwater', hivi karibuni alitoa maoni yake kwamba nchi za Kiafrika zinapaswa...
Kuna watu wana uelewa mdogo sana kuhusu uwezo wa USA kiichumi, kivita, silaha, technology. Ukweli unabaki pale pale kwamba hakuna taifa lolote linalomsogelea MAREKANI kwenye:
a) Uchumi
b)...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.