Huwezi kusikia watu wanaokuja Dar kutokea Arusha au Moshi kwamba kwamba hawa siyo raia, wala huwezi kusikia watu wa Mbeya, Ruvuma kwamba hawa siyo raia wakati wapo mipakani.
Ila linapokuja swala...
Tumekuwa tukiumizwa na vifo vua watu wa karibu Kama ndugu jamaa au marafiki au majirani kutokana na bond tuliyokuwa nayo.
Je, kifo Cha mtu Gani maarufu kishawahi kukusikitisha kutokana na mchango...
Habari za muda huu wana JF,
Nchi yetu ni kubwa na Ina miji na vijiji vingi lakini Kuna baadhi ya maeneo unaweza ukahisi sio sehemu ya nchi yetu mpaka ukajiuliza maswali kuwa Hawa watu waishio...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Bakari kwa muda mrefu amekuwa mtu wa watu, mwenye kuielewa tasnia ya habari na zaidi ni kiongozi ambaye ana haiba ya uongozi.
Wasifu wake unajitosheleza tofauti na wengi ambao wakipewa nafasi hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.