Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hari zenu wana JF, Kuna gari aina ya IST imeibiwa leo yeyote atakae iona Naomba atupe taarifa simu 065 954 6653 078 495 5561 T. 441 DZD Kuna zawadi nono kwa atakae...
4 Reactions
63 Replies
976 Views
Mchezaji Bora nategemea atoke miongoni mwa wale wachezaji walioshinda tuzo za Mchezaji Bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2023/24 wa kila mwezi. Wachezaji Bora tokea mwezi Agosti 2023 hadi Aprili...
3 Reactions
11 Replies
197 Views
Nakuombea upone haraka urudi kwenye afya njema Pole sanaa, haupo peke yako nipo na wewe kwenye kila hatua. Wakati wote umekua ukinijali mimi, ni wakati wangu kukuonyesha nakujali pia Upone...
20 Reactions
268 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu. Naomba kuuliza kwa wajuzi wa mambo hasa kwenye kufanya malipo kwenda nje ya nchi. Leo nimeshindwa kulipia gari Japan sababu kubwa ni dollar, niliienda NMB wakasema mwisho...
3 Reactions
47 Replies
489 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
104 Reactions
221K Replies
17M Views
Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana. Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye...
11 Reactions
154 Replies
2K Views
Kumekuwa na sintofahamu kati ya Majiji haya mawaili yanatotikisa Tanzania ukiachilia Dar. Majiji haya yamezua gumzo miongoni mwa watu kwa kujaribu kuyashindanisha lakini pamoja na kuyashindanisha...
4 Reactions
7K Replies
205K Views
We pambana pambana tu, mishe huzaa mishe nyingine kukuletea mishe nyigine kutoka katika mishe nyingine.
3 Reactions
1 Replies
27 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan,mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika...
2 Reactions
13 Replies
250 Views
Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT. Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike...
27 Reactions
389 Replies
9K Views

FORUM STATS

Threads
1,858,422
Posts
49,746,250
Back
Top Bottom