Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

A
Habari ndugu wadau!? Kuna nini kinaendelea kwenye mifuko ya uwekezaji UTT Amis? Huduma zao kwenye upande wa kupokea simu imekuwa ni janga, hazipokelewi ziadi ya kukatwa. Hii inatia wasiwasi kwa...
5 Reactions
27 Replies
458 Views
Wakuu habari zenu. Naomba kuuliza kwa wajuzi wa mambo hasa kwenye kufanya malipo kwenda nje ya nchi. Leo nimeshindwa kulipia gari Japan sababu kubwa ni dollar, niliienda NMB wakasema mwisho...
3 Reactions
51 Replies
654 Views
Januari mwaka 2001 mapema kabisa kabla ya George Bush kuapishwa na kuwa rais wa Marekani, makamu wa rais, Bwana Dick Cheney alimtumia ujumbe waziri wa ulinzi, William S. Cohen ambaye aliwekwa hapo...
5 Reactions
7 Replies
316 Views
Ndugu wanajukwaa, natumaini mnaendelea vizuri katika harakati za hapa na pale za kujikwamua kiuchumi. Bila kuwachosha niende moja kwa moja kwenye hoja husika: Siku za nyuma hivi karibuni Tume...
11 Reactions
74 Replies
9K Views
Kuna jamaa aliniuliza kuna changamoto gani au kero zinakumbananazo car wash za hapa bongo kwa. Maana yeye alitaka siku moja aanzishe automated car wash.kama hio hapo chini...
1 Reactions
3 Replies
77 Views
Kinachoendelea Gaza kimetoa picha kwa kila mwenye ubinadamu kuwa nchi inayoitwa Israel ni taifa la watu ambao ni wasahenzi sana.Hawasikii nasaha za binadamu wala kutii amri za mahakama. Baada ya...
6 Reactions
77 Replies
2K Views
Mahakama ya Juu ya nchi hiyo, katika uamuzi wa kihistoria wa Jumatano, ilitangaza Kifungu cha 250 cha Kanuni ya Jinai ya Mauritius, ambayo ilianza mwaka 1898, kuwa kinyume na katiba ya nchi...
7 Reactions
38 Replies
4K Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
137K Replies
9M Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
43 Reactions
52K Replies
3M Views
Natafuta wazo la biashara ambalo lina almost Zero management. Kama mjuavyo biashara au uwekezaji unahitaji management la sivyo hasara utakula mchana. Katika fikiria fikiri nimeona BIASHARA YA...
4 Reactions
11 Replies
260 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,427
Posts
49,746,371
Back
Top Bottom