Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari zenu wakuu? Kuna hoja hapa naomba kuileta kwenu.. Kama mmejaribu kufatilia, Vijana wengi sana wanathubutu kutoka mikoani na kwenda Dar es salam kutafuta maisha. Wengi wanaenda kutafuta...
10 Reactions
60 Replies
2K Views
Kama ulkua Haujui, Basi tambua simu unayomilik inaweza kukutambulisha wew ni Mtu wa Aina Gani Kitabia, Nakusogezea Angalia chama lako 1. IPHONE -watu wanaoigiza maisha. kwa Mwanamke anaonekan...
50 Reactions
204 Replies
5K Views
Habari za wakati huu ndugu zanguni. Nimekaa mahali maeneo ya magomeni karibu na bara bara kuu nikasikia hilo tangazo, wakitangaza kupitia gari ndogo maarufu kama "KIRIKUU" Kwa mujibu wa...
5 Reactions
57 Replies
673 Views
Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Geita, Rose Busiga amegaragara chini wakati akimuombea kura Rais Samia Suluhu Hassan na Naibu Waziri Mkuu, Doto Biteko wakati wa mkutano wa hadhara katika kijiji cha...
3 Reactions
24 Replies
289 Views
Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huwaletea hizi makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa". Makala ya leo ni wito wa ustaarabu kwa Rais Samia, rais Samia Suluhu, sio malaika, ni...
25 Reactions
151 Replies
10K Views
Ndugu zangu wana Jf habari zenu. Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
152 Reactions
13K Replies
4M Views
Zipo PC 10 tu nazitoa kwa bei ya ofa ya 385,000/= haina punguzo Dell 3189 Touch screen✅ Intel cerelon SSD 128GB RAM 4GB CONTACT :0697224996
0 Reactions
1 Replies
2 Views
KIWANJA KINAUZWA MAENEO YA KIVULE KARIBU NA SHULE YA SEKONDARI KEREZANGE SIZE : 40 METERS X 40 METERS PRICE : 25 MILLIONS CONTACT : 0712 36 33 58. ALL SERVICES AVAILABLE HAKUNA DALALI
2 Reactions
4 Replies
5 Views
Kuna watu wana uelewa mdogo sana kuhusu uwezo wa USA kiichumi, kivita, silaha, technology. Ukweli unabaki pale pale kwamba hakuna taifa lolote linalomsogelea MAREKANI kwenye: a) Uchumi b)...
33 Reactions
176 Replies
3K Views
Raisi Xi wa China alitoa vitisho kuhusiana na ziara ya bi Perosi nchini Taiwan. Wote tulisikia. Pamoja na vitisho vyote, Marekani wakapuuza, bi mkubwa akaingia Taiwan. Wote tuliona, mchana kweupe...
10 Reactions
47 Replies
769 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,327
Posts
49,826,574
Back
Top Bottom