Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wanaukumbi. 🇮🇱🇱🇧 Hapo jana Israel walisema wanaelekea kwenye uamuzi wa kuivamia Lebanon, leo Hezbollah wamerusha roketi kwenye kituo chao na kuua na kujeruhi makumi ya wanajeshi. Wakati huo...
3 Reactions
70 Replies
2K Views
Mji wa Same ni mdogo sana ila inashangaza ndani ya wiki tatu zilizopita zimeibiwa TV nyingi sana, je, zinakwenda wapi? Au zinauzwa wapi? Maeneo ya Sterling na Stesheni kwa mfano zimeibiwa TV nne...
0 Reactions
12 Replies
157 Views
Muda si mrefu tutawapa na Serikali za mitaa wanavyoongezeka. Immigration fanyeni msako wa guest za Mbagala Zakhem kila Alhamisi mpaka Jumapili. Hizi guest nyingi huhifadhi waethiopia wanaosubiria...
10 Reactions
107 Replies
2K Views
Erik Prince, afisa wa zamani wa Jeshi la Wanamaji la Marekani na mwanzilishi wa kampuni ya binafsi ya kijeshi ya 'Blackwater', hivi karibuni alitoa maoni yake kwamba nchi za Kiafrika zinapaswa...
1 Reactions
23 Replies
290 Views
Hapa nimenunua tu muda wa maongezi wananitumia had email EQUIT wako vizuri aisee…..Hizi benki zetu zinazidiwa na kabank ka kenya…nchi nusu jangwa kama sahala inawazidi TANZIA
0 Reactions
3 Replies
20 Views
1. Ukipewa simu kama unaoneshwa pengine picha, tazama kisha rudisha na sio kuendelea kutazama picha zingine. 2. Ukipiga simu kama haitopokelewa, tuma meseji na sio kupiga mara nyingi hususani...
22 Reactions
90 Replies
880 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
383K Replies
11M Views
Ufike wakati makampuni ya Ving'amuzi wafanye utafiti kwenye biashara zao, kwanini watazamaji wa Televisheni wanapungua? Huwa najiuliza mbona baadhi ya makampuni yanayotoa huduma za Internet...
3 Reactions
14 Replies
213 Views
BINTI YANGU NJOO NIKUAMBIE HAPA. Mithali 20:7 [7]Mwenye haki aendaye katika unyofu wake, watoto wake wabarikiwa baada yake. Haki katika ndoa yako ambayo Mungu amekupa hakikisha unaishi katika...
8 Reactions
21 Replies
115 Views
Baada ya vuta nikuvute ya hapa na pale kati ya wababe Simba, Yanga na JKT, hatimaye timu ya Simba wanawake wameibuka mshindi wa kombe hilo la Ligi kuu wanawake baada ya kuifunga Alliance girls ya...
2 Reactions
8 Replies
116 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,288
Posts
49,825,232
Back
Top Bottom