Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Erik Prince, afisa wa zamani wa Jeshi la Wanamaji la Marekani na mwanzilishi wa kampuni ya binafsi ya kijeshi ya 'Blackwater', hivi karibuni alitoa maoni yake kwamba nchi za Kiafrika zinapaswa...
3 Reactions
32 Replies
452 Views
Siasa ni kama biashara, huwezi kupeleka viatu kwa wamasai ukashindane na wanaouza ndala za mataili, itakuwa ni ujinga Vile vile huwezi kupeleka sembe mahali ambako watu wanamahindi yao na...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Wakuu kwema? Serikali sasa huku mnapotupeleka kubaya, na ni uonevu wa wazi wazi kabisa. Yaani mtu anapaza sauti walimu wanadai stahiki zao badala mshughulikie malalamiko hayo mnaedna kumkamata...
1 Reactions
7 Replies
63 Views
Yani ukiwa handsome, kwanza watu hawakuzanii vitu vya ajabu kama wizi, kukipotea kitu anaangaliwa mtu mwenye sura ngumu ndo anadhaniwa ni mwizi. Pia tunapata favor maeneo mengi, yani hata kazini...
24 Reactions
123 Replies
3K Views
Habari za wakati huu ndugu zanguni....... Nimekaa mahali maeneo ya magomeni karibu na bara bara kuu nikasikia hilo tangazo........wakitangaza kupitia gari ndogo....maarufu kama "KIRIKUU" Kwa...
1 Reactions
2 Replies
3 Views
watoto wanaonyesha umahiri mkubwa sana juu ya walichojifunza mashuleni Ecademic improvement kwa watoto wetu imeimarika sana na inatia moyo mno... uelewa na ufahamu wa watoto wetu katika kusoma...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nimekutana nae hapa Mbezi Makonde EB Restaurant. Jamani unaweza kufa au ukauza ukoo wote!!! Hivi anapatikana wapi?
21 Reactions
308 Replies
52K Views
... πŸ—£οΈ 𝗕𝗔𝗕π—₯𝗔 - π—ͺ𝗔𝗧𝗨 π—ͺπ—”π— π—˜π—Ÿπ—œπ—£π—ͺ𝗔 π—£π—˜π—¦π—” π—žπ—¨π—§π—˜π—‘π—šπ—˜π—‘π—˜π—­π—” 𝗣π—₯π—’π—£π—”π—šπ—”π—‘π——π—”. "Propaganda zilizofadhiliwa zimefikia hatua ya kuchukiza sana kama vita za kisiasa. Kwani hatuwezi kuona kikamilifu nyuma ya hii...
3 Reactions
7 Replies
374 Views
Kwa takribani saa 48 sasa kuna mambo kibao yanaendelea ndani ya Simba. Tajiri Mohamed Dewji β€˜MO’ ameingia msituni mwenyewe. Ameamua kufumua kitu kimoja baada ya kingine kwa vitendo katika...
5 Reactions
14 Replies
346 Views
Mahakama ya Ushindani na Haki za Watumiaji Huduma (CCPT) ya Nigeria, imeitoza kampuni ya Matangazo ya Televisheni ya MultiChoice takriban Tsh. Milioni 282.56 pamoja na kuwapa Wateja wake Kifurushi...
1 Reactions
2 Replies
113 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,301
Posts
49,825,714
Back
Top Bottom