Naingia kwenye mada moja kwa moja pasipo kuwachosha. Inasikitisha kuona kwamba nguvukazi ya taifa inapotea bure kwa kujikita kwenye uchezaji wa kamari. Kwa utafiti mdogo nilioufanya, kamari...
Habari zenu wanajamvi?
Watu wengi hasa wafuatiliaji wa mambo yanayoendelea nchini kwenye uga wa siasa wameshtushwa kwa ukubwa sana juu ya uwezo wa Lissu kufanya mikutano bila nguvu ya ufadhili wa...
Jamani nashindwa Ku mblock x wangu moja kwa moja kila ni ki mblock nakaa siku chache na mu unblock tuna mtoto mmoja.
Napenda nimkomeshe status kwa kumpost mpenzi wangu mpya na vijembe tu natakaga...
Nguvu ya muisreli inaanza kuwafikia magaidi.
Sasa wamekosa pa kukimbilia, Mateka wanaokolewa mmoja baada ya Mwingine kama ilivyo ahidiwa na Serikali ya Netanyahu.
Noa Argamani, ambaye utekaji...
NIELEWE KWA MAKINI SANA.
Mungu wa Israel
Mungu Allah,
Mungu wa wabudha,
Miungu ya kale pale misri,
Na Mungu au Miungu yote ambayo inaabudiwa ikiwemo mizimu na isiyo mizimu, ikiwemo hai na isiyo...
Habari za majukumu wana JF, poleni na mihangaiko ya hapa na pale. 🤝🤝
- Watu wanaweza kuwa na tabia na matarajio tofauti sana katika uhusiano, na mara nyingi hutokea kwamba baadhi yao huweka...
Wakati naanza kuandika makala ya huyu Mzee aliyejaaliwa miaka mingi na heri hapa Duniani nikakumbuka yule dogo aliyemzaba kibao sijui yuko wapi. Kweli maisha ya mwanadamu ni hadithi tu ndiyo maana...
Habari za wakati huu ndugu zanguni.
Nimekaa mahali maeneo ya magomeni karibu na bara bara kuu nikasikia hilo tangazo, wakitangaza kupitia gari ndogo maarufu kama "KIRIKUU"
Kwa mujibu wa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo leo tarehe 08/06/2024 kinafanya Mkutano wake wa hadhara Singida Mjini, ambako Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu atahutubia wananchi.
Kama ilivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.