Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hii inachekesha kidogo 😂😂😂 Je wewe ni aina gani ya Mke au upo katika aina gani ya mke? Hata kama hajaolewa lakini unatumaini kuwa Mke wa mtu. 1. BOXING WIVES : Hawa ni aina ya wake wanaopigana...
16 Reactions
195 Replies
2K Views
Wanaume ambao mnawatoto embu tupeni uzoefu wenu kwa mara kwanza unampelekea Mwanamke wako hospitali kujifungua,hiyo siku ilikuwaje na kipi utoweza kusahau kabisa
5 Reactions
51 Replies
1K Views
Tazama mwenyewe hali ilivyo kwenye Usafiri wa Mabasi yaendayo kasi, jijini Dar es Salaam alimaarufu "mwendokasi"
8 Reactions
23 Replies
314 Views
Bora tu imetokea kwa Mkenya! Ingelikuwa ni Mtanzania angekiona cha moto kwa mashambulizi ambayo angeyapata mitandaoni😄😄😄 Kiingereza si tatizo kwa wasomi wa Kenya, Rais Ruto akiwemo. Lakini awamu...
9 Reactions
38 Replies
445 Views
Kwa heshima kubwa. Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno. Pamoja...
186 Reactions
28K Replies
2M Views
Uswisi inaratajia kuwaalika washiriki zaidi ya 160 kutoka mataifa mbalimbali katika mkutano utakaolenga kuleta amani na upatanishi wa Ukraine na Russia. Mkutano huo unatarajia kufanyika kwa siku...
0 Reactions
2 Replies
17 Views
Kama ilivyoshindwa mambo mengi, kufikia hadi kuuza Bandari basi ni vema sasa kurejesha tena usafiri wa Daladala kama ilivyokuwa awali Kutoka Kariako hadi Mbezi kupitia Kimara. Hii ni kwa sababu...
9 Reactions
43 Replies
752 Views
Kuna watu tuna nusa kama mbwa. Nishanusa kitu, huu ni mchezo wa kitoto umefanywa na wenye vyeo. Haiingii akilini aiseee. Uue kiwanda uzalishe nyumba. Kihesabu hapo ni sawa na 10-90 jibu...
1 Reactions
5 Replies
213 Views
Vijana wadogo msijisumbue kujibu!!!!
2 Reactions
8 Replies
199 Views
Kitu chenye baraka wengi hukiombea wakipate, kinyume chake watu huomba kiwaepuke Kwa imani zetu huwa tunaamini Mungu anahusika kwenye uumbaji hivyo hata mlemavu ni kazi yake, akipanga uwe na...
4 Reactions
16 Replies
254 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,465
Posts
49,691,778
Back
Top Bottom