Habari za majukumu ndugu zangu, naomba kujua nini faida anazopata mchezaji wa mpira wa miguu baada ya timu yake kushinda kombe.
Natanguliza shukrani
Pia soma: Usiyoyajua kuhusiana na mchezo wa...
Kwa namna mambo yalivyo na namna mambo yanavyoendelea, nashawishika kusema waliotaka kukiuka katiba baada ya kile kifo walikuwa sahihi sana.
Watu hawa wana macho makali yanayoona mbali kama ndege...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ametoa mwezi mmoja kwa Idara ya Uhamiaji nchini kuhakikisha Mfumo wa Kielektroniki wa Usimamizi wa Mipaka kufanya kazi katika Kituo cha...
Kama ulkua Haujui, Basi tambua simu unayomilik inaweza kukutambulisha wew ni Mtu wa Aina Gani Kitabia, Nakusogezea Angalia chama lako
1:IPHONE-watu wanaoigiza maisha. kwa Mwanamke anaonekan...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Wakati mwingine mtu unatamani kusema sisi watanzania ni majuha lakini unaheshimu uumbaji wa Mungu wetu.
Jinsi mambo ya hovyo yanayofanywa na baadhi ya watu tuliowapa madaraka yanavyotia kinyaa...
Hadi nastaajabu jinsi mume wangu mtarajiwa alivobadilika na kuonesha upendo ambao sjwahi kuupata kutoka kwa mtu mwingine ispokuwa wazazi.
Iko hivi huyu kijana nimekutana nae nina kama mwezi na...
Ukiondoa nyakati za Kampeni za Uchaguzi sijawahi kumshuhudia Tundu Lisu akifanya Mikutano kwa spidi hii tena wakiwa Wawili tu kutoka Chadema HQ yaani yeye mwenyewe na Twaha Mwaipaya wa Bavicha...
===
Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania.
Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.