Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Askofu Mwanamapinduzi anesema amekamatwa na Polisi kutokana na kauli yake ya uchochezi "Rais amekataliwa na Mungu" Ametoa ufafanuzi huo Ukurasani kwake X Namuuliza askofu Mwanamapinduzi; enzi za...
0 Reactions
5 Replies
11 Views
=== Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania. Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo...
11 Reactions
71 Replies
458 Views
Salaam wakuu, Nijielekeze kwenye hoja. Serikali ilikuja na Mpango mzuri sana wa kukusanya kodi za majengo kupitia matumizi ya Umeme (Luku) Ulikuwa ni mpango mzuri sana kwakua hakuna mtu...
2 Reactions
14 Replies
364 Views
Mwanasiasa wa upanzani nchini Rwanda Diane Rwigara ametupwa nje ya kinyang’anyiro cha urais kwa kutotimiza vigezo vya Tume ya Uchaguzi ya nchi hiyo. Kulingana na Mwenyekiti wa Tume hiyo Oda...
1 Reactions
10 Replies
582 Views
Kwema wakuu! Niende moja kwa moja kwenye mada. Nimekuwa nikitafakari sana juu ya hatima ya maisha yangu na hasa ukizingatia hali ya sasa kwa hapa Tanzania ni mbaya, kwani watu wanaishi maisha...
11 Reactions
85 Replies
2K Views
Maisha ni nyumba guys, na kabla ujenge lazima uwe na kiwanja. Hata usipoishi huko we jenga pangisha na uwe urithi kwa watoto baadaye. Ft. 60x50, kipo mbande, mwenyewe anashida anamgonjwa so...
3 Reactions
21 Replies
247 Views
Katika hali inayoelekea kuwachanganya wamarekani Urusi imetuma manowari zake zaidi ya 8 katika pwani ya marekani nchini Cuba sababu ikitajwq ni maandalizi ya mazoezi ya pamoja. Hii ni mara ya...
4 Reactions
69 Replies
2K Views
Rais Samia afanya uteuzi na kufanya mabadiliko ya watendaji wa Serikali. ---
20 Reactions
184 Replies
15K Views
Miaka hiyo sina hela afu ujana mwingi......kidogo nipagawe. Nikamcheki braza yangu MUBA MUBANDA....mzee wa kazi zote pale kariakoo. MIMI: Kaka mdogo wako sina kitu afu unavyojua lazima avensis...
48 Reactions
461 Replies
73K Views
Salaam, Shalom!! Kusaini mikataba inayohusu Nchi kunahitaji Umakini wa Hali ya juu, mikataba yenyewe ni very technical na inahitaji muda kuusoma na kujua Hila za vifungu vya mikataba vinavyoweza...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,006
Posts
49,816,891
Back
Top Bottom