Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Leo/ jana Rais Samia kafanya tena ile kazi aiwezayo vizuri: kateua na kutengua baadhi ya watumishi wa serikali. Ila safari hii yawezekana kaandika rekodi ambayo haijawahi kuandikwa duniani...
20 Reactions
106 Replies
4K Views
Kuna vijana wengi wamejiajiri kwenye kazi ya ufundi simu Ila Kati ya 20 waweza pata mmoja tu ndo anaelewa kidogo kuhusu simu walio Baki ni kuchoma maiki tu na kubadili vioo kwani hata kubadili...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
268 Reactions
164K Replies
5M Views
Hili sio taifa la kwenda kutembeza bakuli Korea kusinu. Dhahabu, ruby almas na hata Alexandrite zimetapakaa hadi uvunguni mwa vitanda vya watanzania. Maziwa makubwa kama Victoria na Eyasi...
0 Reactions
1 Replies
22 Views
Wasalaam, JF. Wakati Tundu AM Lissu akiamua kuasisi chama kipya cha siasa na kuifanya Tanzania kuwa na jumla ya vyama 20 vya siasa akianzia kukisimika chama hicho kipya mkoani kwake Singida kabla...
13 Reactions
114 Replies
3K Views
Weengi wanaamini mweusi ni mpenda njia za mkato 'shortcuts' tena hata hajali kama kuna mahali anaharibu au kuna watu anawaumiza Weeengi humu wanaamini mtu mweusi ni ungaunga mwana weengi humu...
7 Reactions
65 Replies
542 Views
Leo nataka niwape stori ya kweli najua kila mmoja wetu anamambo yake kutokea huko nyuma katika maisha yake watayatoa kwa wakati wao ila mimi nimona muda huu unanifaa kushare haka kastori kafupi...
4 Reactions
4 Replies
232 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimeona niseme haya mapema sana ili yakitokea ya kutokea CHADEMA wasije kuanza kusema wamehujumiwa na serikali au CCM. Kwa sababu mtu mvivu wa kutumia akili akipata tatizo...
13 Reactions
151 Replies
2K Views
Khabarini wana jukwaa. Mwaka 2021 nilikutana na dada mmoja mzuri sana, mrembo, mwenye kuvutia na mpole sana ambaye mwanaume yeyote mwenye akili timamu lazima tu angempenda. Basi nikafanya...
29 Reactions
494 Replies
17K Views
MUDA SI.MREFU TUTAWAPA NA SERKL ZA MITAA WANAVYOONGEZEKA MH IMMIGRATION FANYEN MSAKO WA GUEST ZA MBAGALA ZAKHEM KILA ALHAMISI MPAKA JPILI HIZI GUEST NYINGI HUHIFADHI WAETHIOPIA WANAOSUBIRIA...
0 Reactions
2 Replies
47 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,172
Posts
49,821,865
Back
Top Bottom