Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Twende nyuma, kuna namna pia wananchi wa Tanzania ni shida na hawajielewi. Hivi unaenda kumchagua mbunge Darasa la 7 awe mmbunge wako akakupiganie Sera na Kukuletea maendeleo, serious? Tanzania...
18 Reactions
74 Replies
984 Views
Natumai wazima wote,. Iko hivi, kila siku zinavyoenda ndivyo ambavyo naogopa kuja kuitwa mama hapo baadae (Mungu anisaidie niondokane na hii hofu😓🥹🙏), hiii inatokana na lifestyle ambayo namwona...
33 Reactions
363 Replies
3K Views
Jamaa analipigania Taifa lake huku mkewe analiwa ovyo.DNA imeonyesha watoto wote siyo wa jamaa isipokuwa mwanamke kazaa na mchepuko ambaye ni baba mchungaji.
11 Reactions
65 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda, amevunja mkutano kufuatia madai ya Injinia mmoja wilayani Monduli kuidai wilaya hiyo jambo lililofanya aumwe moyo na kufanyiwa oparesheni mara kadhaa.
0 Reactions
8 Replies
87 Views
Peace, Itakushangaza lakini ndio ukweli, tupo katika zama za upendeleo na "kuinuliwa" kwa wanawake na fursa kede kede pasina shaka mimi na wewe tulitegemea ustawi wa wanamakae kiuchumi, kiroho...
18 Reactions
29 Replies
576 Views
Habari wanajamvi... Nina imani humu kuna wazazi ambao walishawahi kua na watoto wenye tabia kama hizi naombeni msaada wenu wa mawazo na ushauri unisaidie na mimi. Binafsi nina mdogo wangu...
27 Reactions
363 Replies
14K Views
Bojour wazeeee.......!!!! Watu wengine makomwe sana..... Sawa pombe nakunywa ila ni baada ya kazi na kesho on time nimefika jitu linaenda kwenye uongozi wa juu kutangaza aaaah jamaa mitungi...
22 Reactions
102 Replies
1K Views
Kipaumbele cha Wananchi wa Tanzania ni nini? Dispensary ya Kijiji cha Nahukahuka halmashauri ya Mtama mkoani Lindi ujenzi wake unahitaji tsh million 68 na Wananchi wamejaliwa kuchanga tsh million...
2 Reactions
6 Replies
106 Views
KAZI ANAZOFANYA MAKONDA, WAZALENDO TUWE TUKIMUOMBEA SANA, Kila nikitazama ujasli na weredi wa Mh Paul Makonda napata faraja kubwa sana, nimefurahishwa na kauli yake akisema hatoyumbishwa, wahuni...
0 Reactions
6 Replies
64 Views
Hatari ya Jambo alilolifanya huyu kijana ni kubwa sana, hata kama amelipwa lakini hakuangalia mbele na wala hakujiuliza, kwanini Hadija Kopa au John Komba hawakufanya hivyo. Kusifia ccm au Samia...
4 Reactions
20 Replies
516 Views

FORUM STATS

Threads
1,857,848
Posts
49,730,546
Back
Top Bottom