Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Vita vya Ukraine vilianza kwa ushawishi wa Marekani kwa raisi wa Ukraine mpaka vita vikaanza kupiganwa. Tangu vita hivyo vianze mwezi Februari 2022 Marekani kipekee imetoa misaada ya kila aina...
7 Reactions
97 Replies
4K Views
Naam, ni Hakika! Wakati ligi mbalimbali duniani zikielekea ukingoni, mashabiki kote duniani wanatarajia kwa hamu kuanza kwa tukio kubwa zaidi la soka barani Ulaya, UEFA EURO 2024. Mashindano...
11 Reactions
53 Replies
1K Views
Uwe na miaka 30 kwenda juu usivuke 40 uwe tayari kuishi kiuhalisia
1 Reactions
79 Replies
328 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimeona niseme haya mapema sana ili yakitokea ya kutokea CHADEMA wasije kuanza kusema wamehujumiwa na serikali au CCM. Kwa sababu mtu mvivu wa kutumia akili akipata tatizo...
13 Reactions
149 Replies
2K Views
Wakuu mpo! Watanzania wengi ûkiwaona kwenye mikutano ya Siasa usiwachukulie Serious sana kwa sababu wao wenyewe hawapo Seriôus. Wengi hupenda kusikia wanasiasa wakiwa jukwaani wakiongea kwa...
1 Reactions
5 Replies
64 Views
Leo nataka niwape stori ya kweli najua kila mmoja wetu anamambo yake kutokea huko nyuma katika maisha yake watayatoa kwa wakati wao ila mimi nimona muda huu unanifaa kushare haka kastori kafupi...
0 Reactions
1 Replies
21 Views
=== Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania. Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo...
23 Reactions
144 Replies
2K Views
Kutokana na malezi ya kisasa na mifumo ya kisasa ya maisha ile kanuni ya mtii mwanaume wako kwa wanawake wa kisasa ni kitu ambacho hawakielewi kabisa wala kujua maana yake wakiwa katika umri wa...
4 Reactions
7 Replies
148 Views
Habari za uhakika ni kwamba kocha wa zamani wa Simba maarufu Uchebe amechukuliwa kuinoa Singida Black Stars. Singida safari hii wanawekeza sana.
2 Reactions
30 Replies
607 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,135
Posts
49,820,526
Back
Top Bottom