Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kwa mujibu wa nguli wa muziki wa dansi nchini, marehemu Remy Ongalla, muziki ni burudani, furaha, huzuni, nk. Hapa anamaanisha kuwa muziki ni...
Hakuna mapenzi ya kweli pale bali ni project ya GSM. Aziz Ali Ki anataka mpunga mrefu sana toka GSM ili asalie mitaa ya jangwani.
GSM wameona njia pekee ni kumtumia Delila Hamisa Mobeto kurudisha...
1. Marioo
2. Harmonize
3. Jay Melody
4. Mbosso
5. Jux
6. Chino
7. D. Platnumz
8. Zuchu
9. Alikiba
10. Nandy
Hizo takwimu ni kutokana na performance zao huku mtaani ndani ya miaka mitano ya hivi...
Awali "Y" alikuwa Wakili na aka attest nyaraka za Mzee "X". Hatimaye Tapeli "Z" akadhulumu kiwanja, kesi ikafunguliwa. Na kwa bahati mbaya ikaanguka kwa Jaji "Y" ambaye ndiye alikuwa Wakili wa...
Binafsi huwa natumia zaidi Halopesa ili kuunga vifurushi katika laini yangu.
Leo nikahitaji kunua vocha ya halotel ili nijaze salio la kawaida, nilivyoingia katika duka moja ili kufanya manunuzi...
Hakika sikio la kufa halisikii dawa. Wabunge wakishirikiana na mawaziri, machawa na wapambe e.g baadhi ya waandishi walituaminisha pitisha hiyo sheria ya kubinafsisha badandri zetu kwa DP world...
Bojour wazeeee.......!!!!
Watu wengine makomwe sana.....
Sawa pombe nakunywa ila ni baada ya kazi na kesho on time nimefika jitu linaenda kwenye uongozi wa juu kutangaza aaaah jamaa mitungi...
Habari wandugu,
kiwanja cha makazi kinauzwa kipo mjini Dodoma, ntyuka mtaa wa chimala. Kimepimwa Kina ukubwa wa Square meter 408, kipo Karibu na barabara pia nguzo ya umeme ipo pembeni ya kiwanja...
Dunia ya leo watu wengi hufanya utalii wa ndani au wa nje ya nchi zao si kwa ajili ya vivutio vya asili vya mazingira na majengo tu bali kwa ajili ya kufurahia utalii wa vyakula vya asili na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.