Salaam, Shalom!!
Kusaini mikataba inayohusu nchi kunahitaji Umakini wa Hali ya juu, mikataba yenyewe ni very technical na inahitaji muda kuusoma na kujua hila za vifungu vya mikataba vinavyoweza...
Wakuu nilikuwa na msichana fulani niliyeishi naye miaka takribani mitatu ila bahati mbaya hatukupata baraka za kuwa na watoto na kibaya zaidi tukaja kuachana kwa mambo fulani fulani ambayo sioni...
Habarin wa jf natumaini mko powah kabisa
Huyu fundi simu amenishangaza sana mbaka nimeona nilete uzi huu kwa wale wa hanga wa simu mbovu mnao shinda kwa mafundi iko hivi mimi nina jamaa angu...
Mtu anayeteuwa marehemu atakuwa kasaini mikataba mingapi bila kuisoma? Maana Kila mahali anazunguka na kusaini mikataba je Inatusaidia Nini sisi kama watanzania maana hadi Leo Kuna shule wanafunzi...
Daaah walio toboa kwenye huo mkoa hongereni. Daah mikoa mingine utasema upo KENYA siyo Tanzania.
Licha ya ugumu wa pesa hali ya hewa pia haikunifurahisha upepo mkali, maji chumvi daah, jua kali...
Inakuwaje wanaJamiiForums
Kama ilivyo tamaduni yetu WanaJf kushea experience lengo ikiwa ni kuhamasishana kujenga familia, kupeana moyo n.k.
Je, mtoto wako wa kwanza ulimpata kwa bahati mbaya au...
Yaani pamoja na wengine kuipambania CCM humu kwa kiwango hata cha kujidhalilisha, huku mkijitutumua kwa kuweka hata namba zenu za simu ili mkumbukwe, lakini mwisho wa siku mnaishiwa kupewa vocha...
Nahitaji track suit pair 200
Umri 3-5 pair 140
Umri 6-8 pair 60
Na form six tshirt ( rangi yellow/dark blue) kwa rika na idadi hiyo hiyo hapo juu
Kwa biashara call me 0687391885
Salaam wakuu,
Nijielekeze kwenye hoja.
Serikali ilikuja na Mpango mzuri sana wa kukusanya kodi za majengo kupitia matumizi ya Umeme (Luku)
Ulikuwa ni mpango mzuri sana kwakua hakuna mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.