Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini Pauline Philipo Gekul akichangia makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Utamaduni ,Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2024/25 ameiomba Wizara hiyo kupeleka...
Rais samia kwanini pamoja na ziara zote huko hapewi kipaumbele kama Ruto?
Ukiangalia jinsi Ruto alivyopokelewa kwa heshima marekani utashangaa
Ruto kapokelewa kwa heshima sana, vyombo vyote vya...
Pamoja na kukalia kiti cha uraisi kwa kipindi kifupi, marehemu Ebrahim Raisi wa Iran aliyekufa kwa ajali ya helkopta atakumbukwa kama mmoja wa viongozi mashujaa wa nchi hiyo.
Katika kipindi chake...
Habari wanaBodi...
Nimekua mfatiliaji kidogo wa mijadala ya Bungeni hasa michango inayotolewa na wabunge mashuhuri wawili watatu hivi kuhusu Taifa na maendeleo yake Kiuchumi kisiasa na...
Ndugu zangu wana Jf habari zenu.
Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
Akiwa kwenye mahojiano yanayorushwa kupitia EATV katika kipindi cha Salama na Rais wa Yanga Engineer Hersi, Amesema kuna club ilikuwa imejipa utawala na kujiona wao ni vichwa. Sasa alikuwa kwenye...
Baada ya kuingia Mama Samia kwenye usukani mengi yamefanyika likiwemo la kuwajali watumishi hasa upande wa madaraja,. Sasa leo badhi ya watumishi walioenda kwenye ATM kutoa chochote ikawa ndivyo...
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.
Nitaleta update zaidi.
Wanawake kuweni sana makini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.