Kama sio mhanga wa hii kadhia basi moja wa ndugu au rafiki yako atakuwa amekutana nayo .Kumekuwa na utapeli unaoshika kasi hasa mtandao wa facebook .Matapeli wanaweza kuingia kwenye account yako...
===
Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania.
Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo...
Wasalaam,
Hii inaumiza sana, hivi majuzi mdogo wangu alinipigia simu akilia kwamba pesa ya boss wake imeibwa kupitia simu.
Akiwa angalia anasema kutoka kwenye Akaunti yake namba...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeona nisema haya mapema sana ili yakitokea ya kutokea CHADEMA wasije anza kusema wamehujumiwa na serikali au CCM. Kwa sababu mtu mvivu wa kutumia akili akipata tatizo...
Hello Jf.
Je kuna watu humu waliwahi kufunga na kuomba kwa siku kadhaa? (3,7 ama mwezi)
Je lengo lenu la kufunga lilitimia?
Nataka kufunga kwa siku tano tu kuombea jambo langu flani, nipeni...
Leo/ jana Rais Samia kafanya tena ile kazi aiwezayo vizuri: kateua na kutengua baadhi ya watumishi wa serikali.
Ila safari hii yawezekana kaandika rekodi ambayo haijawahi kuandikwa duniani...
Habari wakuu
Mimi ni kijana wa kiume age 29
baada ya michongo kwenda vibaya
nikashauriwa kuvungua duka la mangi kwa mtaji wangu milion 4
nikatafuta frame ya mtaani nikapata
ila issue ni kwamba...
Leo nimeona nishare hii story yangu.
Ilikuwa hivi, nilivyomaliza chuo nilibaki Dar nikipambana na life. Ndani ya muda kidogo nikapata job bana, mshahara si haba. You can imagine umetoka chuo kwa...
Ukifuatilia kwa siku kadhaa tangu Rais aende Korea Kusini, Idara ya Mawasiliano ya Rais haikuwa ikifanya kazi yake ipasavyo hasa kwa taarifa muhimu za kuja Tanzania. Hata mkanganyiko uliotokea VOA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.