Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Macho yanavutia sana. Kupitia macho waweza kuchungulia roho ya mtu, baadhi ya vigezo vinavyofanya macho kuwa yenye mvuto ni; kuwa na umbo la Uduara wenye uwiano, kuchomoza nje ya sura, na kuchukua...
5 Reactions
80 Replies
2K Views
First time..... Huyu jamaa alikuwa anavuka barabara mitaa flani kwenye alama za "zebra", sasa gari hazikia zimesimama uzuri mara ghafla yeye akajiona ana haraaaaka akawa anavuka huku anakimbia...
1 Reactions
2 Replies
11 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda, amevunja mkutano kufuatia madai ya Injinia mmoja wilayani Monduli kuidai wilaya hiyo jambo lililofanya aumwe moyo na kufanyiwa oparesheni mara kadhaa.
4 Reactions
13 Replies
287 Views
Natumai wazima wote,. Iko hivi, kila siku zinavyoenda ndivyo ambavyo naogopa kuja kuitwa mama hapo baadae (Mungu anisaidie niondokane na hii hofu😓🥹🙏), hiii inatokana na lifestyle ambayo namwona...
35 Reactions
372 Replies
3K Views
Nimesikia mwenyekiti wa bodi ya ligi akigusia uandwaaji wa kanuni kali. Naunga mkono kanuni ziwe kali zaidi hususan inayopiga vita ushirikina katika soka. Hatutaki kuona mazingaombwe uwanjani...
2 Reactions
12 Replies
229 Views
Nilikuwa sijui kama kuna ng'ombe mwenye thamani inayozidi milioni tano. Lakini hii clip imenifingua macho! Ng'ombe wa maziwa anauzwa Tsh 12,000,000/= Milioni kumi na mbili si bei ya IST used...
15 Reactions
189 Replies
8K Views
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kwa mujibu wa nguli wa muziki wa dansi nchini, marehemu Remy Ongalla, muziki ni burudani, furaha, huzuni, nk. Hapa anamaanisha kuwa muziki ni...
2 Reactions
32 Replies
217 Views
Kwanza kabisa ifahamike hakuna watu wanapata usingizi mzuri kama wanywaji wa pombe,Hawapati ndoto za ajabu au hallucinations au sleep paraylis. Tatizo KUBWA la mitungi huwa kikiumana kesho yake...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni imewahukumu adhabu ya kifungo cha maisha jela vijana watatu waliokuwa wanajishughulisha na uzalishaji na usambazaji wa pombe kali bandia. Ni...
9 Reactions
86 Replies
2K Views
Kupitia uzi sasa unaweza kuagiza gari yoyote kutoka; Japan✔ UK✔ Singapore✔ Dubai✔ China✔ Thailand✔ Korea✔ n.k NB: Ukiagiza gari nasi tunakupa full package; yaani kuagiza, ku-clear bandarini na...
10 Reactions
539 Replies
25K Views

FORUM STATS

Threads
1,857,857
Posts
49,730,726
Back
Top Bottom