Ukiondoa nyakati za Kampeni za Uchaguzi sijawahi kumshuhudia Tundu Lisu akifanya Mikutano kwa spidi hii tena wakiwa Wawili tu kutoka Chadema HQ yaani yeye mwenyewe na Twaha Mwaipaya wa Bavicha...
Tukiwambia Israel hana alichofanya zaidi ya kuonea watoto, wanawake, vizee, vijana wasio kuwa wanamgambo wa Hamasi mnasema oh Hamasi wanajificha kwenye nyumba za raia kama ni kweli maneno yenu...
Katika hali inayoelekea kuwachanganya wamarekani Urusi imetuma manowari zake zaidi ya 8 katika pwani ya marekani nchini Cuba sababu ikitajwq ni maandalizi ya mazoezi ya pamoja.
Hii ni mara ya...
Katika uongozi hii ni moja ya kanuni nzito sana ambayo mara kwa mara nimekuwa nikiirudia mara kwa mara. Kama wewe ni mtendaji au kiongozi mahali fulani, na unaona kuwa kiongozi wako (bosi) anasema...
Wakati wewe ukienda kuhani msiba unaogopa hata kuaga maiti kwa kuitazama au basi ukiaga unaanza kutusumbua wiki nzima kwamba marehemu anakutokea kwenye kona, basi jua kwa hawa mabwana hali ni...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huwaletea hizi makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa". Makala ya leo ni wito wa ustaarabu kwa Rais Samia, rais Samia Suluhu, sio malaika, ni...
Hadi nastaajabu jinsi mume wangu mtarajiwa alivobadilika na kuonesha upendo ambao sjjawahi kuupata kutoka kwa mtu mwingine ispokuwa wazazi.
Iko hivi huyu kijana nimekutana naye nina kama mwezi na...
In Tanzania, the journey towards reducing mortality rates and disabilities hinges on a crucial, yet often overlooked factor: First Aid provision during accidents and illnesses. The significance of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.