Wakuu kwema?
Msaada kwenye tuta, nimepata ajira posta, nahitaji room yenye choo kwa 100k na sehem ambayo ni rahisi kufikika na kwenda kazi, kama gari nikipanda moja linatosha.kuwe na maji ya...
Wakuu salama?
Nadhani mmeona mkeka wa mama, Zuhura Yunus kaondolewa kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu mpaka kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye...
Habari zenu wana JF tupo hapa kukumbushana mambo kadhaa kuhusu maswala ya uwagizwaji wa magari.
Unapotaka kuagiza gari ni vema kujua gharama za kodi linapofika bandarini itakufanya ujipime mfuko...
Hadi nastaajabu jinsi mume wangu mtarajiwa alivobadilika na kuonesha upendo ambao sjwahi kuupata kutoka kwa mtu mwingine ispokuwa wazazi.
Iko hivi huyu kijana nimekutana nae nina kama mwezi na...
Mkuu wa wilaya ya Buhigwe, Kanali Michael Nhayalina akimuonyesha eneo lililovamiwa na raia wa Burundi Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni(kushoto) wakati wa ziara ya kukagua...
Habari WanaJamiiForums
Mimi ni mama wa watoto wawili na ndoa ya miaka kumi hapa nilipo sijui furaha ya ndoa ni ipi.
Nina mume ambae anajiona yeye ni mkamilifu ila mimi hata nifanye nini...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeona niseme haya mapema sana ili yakitokea ya kutokea CHADEMA wasije kuanza kusema wamehujumiwa na serikali au CCM. Kwa sababu mtu mvivu wa kutumia akili akipata tatizo...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.