Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Makonda katukana na kumdhalilisha mtumishi wa umma. LHRC chombo cha haki za kibinadami, UWT umoja wa wanawake CCM wameshamkosoa Makonda. Makonda kiburi na ego vinamuendesha. Yeye anasema walikuwa...
2 Reactions
37 Replies
229 Views
Geita hawajawah kufungwa na Adam pale Kwao, leo wakifungwa wanashuka daraja, leo wakisare wanashuka daraja, wana mambo mawili, wakubali kuisaidia simba Ifuzu nafasi ya 2 na kujinusuru wasishuke...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
FOREVER BEDROOM PACK ( KIFURUSHI ) 1. ARGI + 2. MULTI MACA 3. VITOLIZE FOR MEN Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA. ARGI +. (FOREVER ARGI PLUS ) 🫴🏾Kirutubisho hiki kipo kwenye mfumo wa unga...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kabla ya Uchaguzi boss alitaka amuweke mrithi wake kwenye kampuni yake, mrithi anayemtaka yeye. Ila kutokana na upinzani mkubwa ndani ya kampuni maamuzi magumu ilibidi yafanyike Baada ya Uchaguzi...
215 Reactions
11K Replies
3M Views
Ukweli ni kwamba ukiota unafukuzwa na nyuki inaweza kuonyesha kuwa unahisi kuzidi wa na mambo mengi kichwani na huna nguvu. Nyuki mara nyingi huhusishwa na kazi ngumu Kwa ushirikiano, hivyo hii...
0 Reactions
11 Replies
49 Views
Hello wadau Kwa muda sasa nimekuwa najisikia huu wito wa kuwa public speaker. Sidhani kama ni siasa au dini, sio huko. Labda siasa ila baadae sana na itokee naturally. Najisikia zaidi kuwa...
1 Reactions
8 Replies
60 Views
Dunia ya leo watu wengi hufanya utalii wa ndani au wa nje ya nchi zao si kwa ajili ya vivutio vya asili vya mazingira na majengo tu bali kwa ajili ya kufurahia utalii wa vyakula vya asili na...
19 Reactions
2K Replies
44K Views
Natumai wazima wote,. Iko hivi, kila siku zinavyoenda ndivyo ambavyo naogopa kuja kuitwa mama hapo baadae (Mungu anisaidie niondokane na hii hofu😓🥹🙏), hiii inatokana na lifestyle ambayo namwona...
32 Reactions
353 Replies
3K Views
Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT. Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike...
15 Reactions
169 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, Uongozi ni kuacha alama zinazoishi katika Maisha na mioyo ya watu,ni kuacha kitu kitakacho simuliwa vizazi kwa vizazi,ni kuacha rekodi ambayo itaimbwa na kuzungumzwa na...
4 Reactions
66 Replies
222 Views

FORUM STATS

Threads
1,857,831
Posts
49,730,042
Back
Top Bottom