Wakuu salama?
Nadhani mmeona mkeka wa mama, Zuhura Yunus kaondolewa kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu mpaka kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye...
Habari wana JF juzi kati nimekuja na swali ambalo niliuliza katika orodha ya kampuni za bima ambazo niliziorodhesha hapa
Shirika Gani la Bima ya Afya Tanzania Lina Gharama Nafuu na Huduma Bora...
Kama ulkua Haujui, Basi tambua simu unayomilik inaweza kukutambulisha wew ni Mtu wa Aina Gani Kitabia, Nakusogezea Angalia chama lako
1:IPHONE-watu wanaoigiza maisha. kwa Mwanamke anaonekan...
Mwandishi nguli wa Habari za Michezo Maulid Kitenge amesema Ukweli ni lazima usemwe Idara ya Mawasiliano Ikulu ilipwaya.
Kitenge amesema kwa mfano madai ya uzushi ya kuuza Bandari ilimlazimu...
Wakuu kwema?
Msaada kwenye tuta, nimepata ajira posta, nahitaji room yenye choo kwa 100k na sehem ambayo ni rahisi kufikika na kwenda kazi, kama gari nikipanda moja linatosha.kuwe na maji ya...
Kwa msaada wa bbc
AK-47 na M16 ni bunduki mbili kati ya zinazotumika sana ulimwenguni.Mizozo mingi ya kivita hasa barani Afrika imehusisha matumizi ya bunduki hizi na hata sasa katika sehemu...
Hadi nastaajabu jinsi mume wangu mtarajiwa alivobadilika na kuonesha upendo ambao sjjawahi kuupata kutoka kwa mtu mwingine ispokuwa wazazi.
Iko hivi huyu kijana nimekutana naye nina kama mwezi na...
Nilichojifunza kwenye hii Dunia ni kwamba vitu vyote Vya kurithi havina maumivu au machungu katika maisha ya mtumiaji, aliyevirithi atatumia hovyo hovyo tu hata kama atarithishwa nchi/Dunia bado...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.