Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ni kama Rais anategewa kwa maksudi na wasaidizi wake ili abebe lawama na aibu yeye Na bahati mbaya nadhani walishamjua udhaifu wake kuwa huwa hapitii na kusoma kile kimeletwa mezani Wasidizi...
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Habarin wa jf natumaini mko powah kabisa Huyu fundi simu amenishangaza sana mbaka nimeona nilete uzi huu kwa wale wa hanga wa simu mbovu mnao shinda kwa mafundi iko hivi mimi nina jamaa angu...
3 Reactions
41 Replies
363 Views
Yaani pamoja na wengine kuipambania CCM humu kwa kiwango hata cha kujidhalilisha, huku mkijitutumua kwa kuweka hata namba zenu za simu ili mkumbukwe, lakini mwisho wa siku mnaishiwa kupewa vocha...
22 Reactions
52 Replies
822 Views
0 Reactions
21 Replies
172 Views
Salaam, Shalom!! Kusaini mikataba inayohusu nchi kunahitaji Umakini wa Hali ya juu, mikataba yenyewe ni very technical na inahitaji muda kuusoma na kujua hila za vifungu vya mikataba vinavyoweza...
3 Reactions
32 Replies
246 Views
=== Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania. Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo...
15 Reactions
84 Replies
699 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
44 Reactions
52K Replies
3M Views
Mimi naishi Zanzibar sasa ni mwaka wa 12, nimekuja huku nikiwa mdogo sana 2012 nikiwa na miaka 19, mpaka sasa naanza kuwa mtu mzima kuna mambo nayaona huku ambayo mtanganyika ukija huku ukakaa...
1 Reactions
11 Replies
230 Views
Wanaumeeeeeeee! Huu ni mwezi maalumu kwaajili ya AFYA YA AKILI YA WANAUME NA MASUALA YA AFYA kiujumla. Sasa leo hebu tujuzaje kwanini wengi wetu hatuongei au kushirikisha watu wengine tunapopitia...
1 Reactions
1 Replies
57 Views
Shimo la choo likijaa naonaga kuna dawa zinatangazwa zinazozibua choo kikiziba, nazihitaji wakuu, napataje Mfano hapo chini
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,016
Posts
49,817,187
Back
Top Bottom