Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.
Nitaleta update zaidi.
Wanawake kuweni sana makini...
1: wana JF naomba kuuliza kuhusu hizi ajira za ualimu zilizotangazwa kutoka kwa mwajiri ambaye ni MDAs na LGAs, je unaenda kufundisha wapi na level gani?
Pia
2: je kuna faida yeyote kwa mwalimu...
Wakuu, kwema.
Ifike mahala tuseme riverside sahivi ndio trending kwa dada poa hapa. Mi sina baya nao, wanakuaga na msaada muda mwingine.
Imagine mbele ya Landmark hotel, mbele ya "sheli" ya...
Suala la ukosefu wa ajira hapa nchini Tanzania limekuwa sio stori tena ni suala ambalo linaonekana ni kama changamoto sana kutokana na sababu mbalimbali, lakini andiko langu nitagusia sana katika...
Heshima kwenu wakuu hope mapambano yanaendelea vyema leo ningependa ku share nanyi machache haya kuhusu biashara hapa nalenda zile biashara zinazouza bidhaa ambazo ni scalable hasa upande wa...
Mimi nikijana wa miaka 27 nilishinda betting kiasi kikubwa tu cha pesa lakini sikuwahi kumweleza mwanafamilia yeyote na wala hakuna anayefahamu, nikaamua kujenga nyumba kupitia zile pesa za...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Ikiwa Serikali yenyewe imekishindwa hiki kisiki cha Mpingo kiitwacho "Watumishi wa Umma" unadhani ni nani ataweza?
Wananchi wamekuwa wakipiga kelele sana...
Ndugu zangu wana Jf habari zenu.
Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.