Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Huwezi kumsajilia wachezaji kocha, mtasumbuana sana kwenye matokeo. Unamtumia Mgunda na Matola kwenye usajili kisha timu unamkabidhi mzungu aifundishe!!! Umefeli kabla ya ligi kuchezwa.
1 Reactions
5 Replies
101 Views
Habari yenu wakuu, Nina siku kibao sijaja hapa MMU kusabahi, hivyo nmeona leo nije tupeane maujanja ya kuwafurahisha Viumbe wetu waliotoka ubavuni mwetu. Tujaribu kuziangalia Baadhi ya Sehemu...
18 Reactions
163 Replies
222K Views
Kwa mujibu wa Waziri anaeshugulikia mipango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar SMZ,Deni la Serikali limeongezeka kutoka Bilioni 155.8 mwaka 2020 Hadi zaidi ya Trilioni 1.1 mwaka 2024 kutokanaa...
0 Reactions
39 Replies
592 Views
Ndege za kivita "fighter jets" na baadhi ya Helicopter za kijeshi zina seat special za kuokoa maisha ya rubani na crew member wengine ikitokea ndege imepata tatizo kubwa litakayopelekea kuanguka...
4 Reactions
11 Replies
190 Views
Habari zenu wanaJamiiForums, Leo nimegundua kumbe karibia wanawake wanapenda wawe na makalio makubwa nilikuwa sehemu akapita mwanamke mwenye shehena ya maana yaani zinga la furushi huko nyuma...
1 Reactions
26 Replies
6K Views
Feisal ameulizwa ulipofunga uliweka isharaaaa uwanja mzima washike adabu ndio.... Je, unakumbuka baba na mama walikuwa uwanjan kaanza kucheka hahahaa kwahio wazazi wako nao washike adabuuuuu...
5 Reactions
21 Replies
766 Views
  • Sticky
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies. Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza...
68 Reactions
23K Replies
2M Views
Ndugu zangu wana Jf habari zenu. Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
152 Reactions
13K Replies
4M Views
Hivi kuna mtu nyuma anaangalia kama watu kama Songesha, Nivushe na watoa mikopo kwenye simu kama hizo hela wanazokopesha wanazo keshi? Kwa picha ya fasta fasta hawa jamaa ni zaidi ya benki kuu...
11 Reactions
87 Replies
2K Views
Kuna daladala huwa zinazingua sana. Yaani unaenda mahali lakini hawakufikishi kama inavyopaswa. Kwa mfano, unaweza kuwa unaenda mahali, lakini wakiona mmebaki watu watano ndani ya gari wanageukia...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,933
Posts
49,815,139
Back
Top Bottom