Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Inakuwaje wanaJamiiForums Kama ilivyo tamaduni yetu WanaJf kushea experience lengo ikiwa ni kuhamasishana kujenga familia, kupeana moyo n.k. Je, mtoto wako wa kwanza ulimpata kwa bahati mbaya au...
2 Reactions
23 Replies
301 Views
Kutokana na wingi wa watu wanaokaa na kutembelea Kigamboni pamoja na shida ya usafiri kuelekea na kutokea Kigamboni ni wakati sasa wa serikali kufanya maamuzi magumu ya kuruhusu vyombo vya usafiri...
8 Reactions
42 Replies
563 Views
Ni dhahiri Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT, anaifungua nchi kitaifa na kimataifa. Hivi sasa, Taifa lina pumzi freshi tena mpya ya kitofauti kabisa, fursa za kila aina zimefunguka kitaifa na...
6 Reactions
79 Replies
654 Views
Wasalaam, Hii inaumiza sana, hivi majuzi mdogo wangu alinipigia simu akilia kwamba pesa ya boss wake imeibwa kupitia simu. Akiwa angalia anasema kutoka kwenye Akaunti yake namba...
11 Reactions
101 Replies
3K Views
Leo ndio nimegundua kuwa kwanini vijana wengi hawaachi hii kitu? Na kila siku idadi ya watumiaji inaongezeka Leo nilikuw mechili getto alone daah!! Ghafula nikapata hamu ya kupiga nyeto ikaja na...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Nyie Dada zetu unakubali vipi mwanaume akupige eti kisa umemkosea.. Nakuuliza yeye huyo mwanaume umewahi kumpiga akikukosea? $ikia Dada husikubali kupigwa na mwanaume. Km mchumba wako anakupiga...
9 Reactions
384 Replies
20K Views
1940 May ulitokea mvutano mkubwa wa baraza la mawaziri nchini Uingereza baina ya pande mbili, upande mmoja ilikuwa wakiunga mkono kuongea amani na Germany na upande mmoja waliunga mkono kuendelea...
20 Reactions
35 Replies
1K Views
Leo nimeona nishare hii story yangu. Ilikuwa hivi, nilivomaliza chuo nilibaki Dar nikipambana na life. Ndani ya muda kidogo nikapata job bana, mshahara si haba. You can imagine umetoka chuo kwa...
72 Reactions
90 Replies
2K Views
Usiku wa kuamkia Leo nimeota nimeua Simba baada kumuua huyo Simba baadhi ya watu wakanibeba kwenye mabega Yao wakinipitisha Kila mtaa huku wakiimba "Shujaa wa nchi". Asubuhii hii nimemshirikisha...
1 Reactions
26 Replies
193 Views
Prof. Kapuya ana umri wa miaka 76 lkn ameoa mke mwenye miaka 25, mimi nina miaka 39 mke wangu ana miaka 33. Kitendo cha mimi kuwa na mke mzee kiasi hiki ambaye kiumri anaweza kuwa sawa na mama wa...
13 Reactions
71 Replies
9K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,931
Posts
49,815,079
Back
Top Bottom