Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu, kwema. Ifike mahala tuseme riverside sahivi ndio trending kwa dada poa hapa. Mi sina baya nao, wanakuaga na msaada muda mwingine. Imagine mbele ya Landmark hotel, mbele ya "sheli" ya...
10 Reactions
57 Replies
277 Views
Rais samia kwanini pamoja na ziara zote huko hapewi kipaumbele kama Ruto? Ukiangalia jinsi Ruto alivyopokelewa kwa heshima marekani utashangaa Ruto kapokelewa kwa heshima sana, vyombo vyote vya...
9 Reactions
53 Replies
704 Views
Hatimaye Ebrahim Raisi aliyekuwa Rais wa Iran amezikwa nyumbani kwao Mashhad Source: BBC
2 Reactions
4 Replies
279 Views
Tazama mwenyewe hali ilivyo kwenye Usafiri wa Mabasi yaendayo kasi, jijini Dar es Salaam alimaarufu "mwendokasi"
2 Reactions
6 Replies
47 Views
Habarini wanajamvi; wema na wabaya wa mada hii! Nauliza kama mzazi nina uhuru wa kumkaririsha kidato cha pili mtoto wangu aliyefaulu mtihani wake wa kidato cha pili (FTNA) kwa vile hakufaulu kwa...
3 Reactions
22 Replies
173 Views
Hii inachekesha kidogo 😂😂😂 Je wewe ni aina gani ya Mke au upo katika aina gani ya mke? Hata kama hajaolewa lakini unatumaini kuwa Mke wa mtu. 1. BOXING WIVES : Hawa ni aina ya wake wanaopigana...
15 Reactions
171 Replies
2K Views
Haijulikani anafanya hivi kwa sababu zipi, kwamba yeye ndio Mkuu bora wa Mikoa yote au labda yeye ni zaidi ya mawaziri, maana tunaona Mawaziri wakisafiri mbali zaidi kwa gari moja tu, na wakifika...
30 Reactions
171 Replies
5K Views
Mbunge wa Kahama Kishimba amesema 90% ya Wataalam wetu wanajua Kusoma na Kuandika lakini hawana Maarifa yoyote Kishimba amesema mambo mengi ya maendeleo Kule chini yamekwamishwa na hao wanaojiita...
20 Reactions
106 Replies
2K Views
Habari wapendwa Naishi Moshi Umri 35 Nahitaji mwenza wa maisha Awe na umri 25-35 Ambae yupo tayari kutafuta wote maisha tuwe na familia Km yupo anicheki DM
2 Reactions
9 Replies
127 Views
Nadhani itakua ni nchi ya kwanza duniani kufanyiwa huu mchezo ndani ya White House. Poleni sana majirani huu mtego mlioingia hamchomoki kumamamake
2 Reactions
6 Replies
15 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,451
Posts
49,691,366
Back
Top Bottom