Wadau,
Mwanza ni Jiji kubwa kwa wingi wa watu na rasmilimali lakini linakubwa na tatizo sugu na kubwa la mgao wa maji ambao haueleweki.
Mfano: Nyegezi maji kwa wiki baadhi ya mitaa wanapata...
Leo/ jana Rais Samia kafanya tena ile kazi aiwezayo vizuri: kateua na kutengua baadhi ya watumishi wa serikali.
Ila safari hii yawezekana kaandika rekodi ambayo haijawahi kuandikwa duniani...
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila kupitia Ukurasa wake wa Instagram amewafunda wanaolalamika Kuhusu ukuaji wa deni la Taifa.
Kafulila amesisitiza kama Taifa lazima...
Kwa zaidi ya miongo miwili, sera ya China kwa Afrika ilijikita zaidi katika maendeleo na miundombinu. Lakini sasa imepanua mawanda yake na kuingia ndani zaidi hadi kwenye utamaduni na lugha...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Leo nimeona nishare hii story yangu.
Ilikuwa hivi, nilivomaliza chuo nilibaki Dar nikipambana na life. Ndani ya muda kidogo nikapata job bana, mshahara si haba. You can imagine umetoka chuo kwa...
===
Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu na mashaka Watanzania kwani Serikali yao ya awamu sita chini ya Dkt Samia Suluhu Hassan ina nia na dhamira njema dhidi...
Chini ya mwana mama shupavu na CEO wa NMB PLC Mrs. Ruth Zaipuna sasa kwa mara ya kwanza tangu uhuru hatifungani ya NMB Jamii Yaanza Kuuzwa Soko la Hisa London.
Benki ya NMB imetanua wigo wa...
Habari wana JF
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.