Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi
How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?
Ikulu imekuwa kichekesho...
Friends and Our Enemies...
Kama mtakumbuka hapo nyuma katika harakati za TUNDU LISU, alipopita Iringa kwenye ziara zake alishutumu vikali matumizi ya fedha za RUSHWA katika uchaguzi wao wa ndani...
Kama Taifa kubwa linatunga sheria Kali kiasi hiki ,inakuaje hapa Tanzania ambapo Watoto wanafanyiwa vitendo vya ajabu na hakuna adhabu yeyote ya maana?
Kuna Mbunge alipendekeza adhabu ya...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.
Ni engineer Léonard Shayo ambaye pia ni fundi mitambo wa Azam Media, amefanikiwa kutengeneza satelaiti mahususi kwa ajili ya kukusanya taarifa za hali...
Mikoa 26 ya Tanzania Bara imegawanywa kwenye Kanda 7 za Kiutawala.
Mkoa wa Iringa Kwa Sasa uko Kanda ya Nyanda za Juu Kusini.
Ingefaa Kwa Serikali kuiondoa Iringa Nyanda za Juu Kusini na...
..sidhani kama yuko mtu ndani ya Ccm anaweza kujibu hoja za Lissu.
..sidhani kama Ccm watavumilia Lissu atimize azma yake ya kufanya mikutano Singida, Dodoma, na Morogoro.
..msikilizeni hapa...
Wadau,
Mwanza ni Jiji kubwa kwa wingi wa watu na rasmilimali lakini linakubwa na tatizo sugu na kubwa la mgao wa maji ambao haueleweki.
Mfano: Nyegezi maji kwa wiki baadhi ya mitaa wanapata...
Sehemu kubwa ya Takataka ya Pasifiki ni mkusanyiko wa uchafu wa baharini katika Bahari ya Pasifiki ya Kaskazini. Uchafu wa baharini ni takataka ambayo huishia kwenye bahari. Kipande Kikubwa cha...
Naomba kufahamu ni hospital gani au Dr gani anaweza saidia tiba ya tezi dume.
Mzee wangu ameonekana na tezi dume kwa vipimo vya awali.
Mgonjwa yupo Morogoro.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.