Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mikoa 26 ya Tanzania Bara imegawanywa kwenye Kanda 7 za Kiutawala. Mkoa wa Iringa Kwa Sasa uko Kanda ya Nyanda za Juu Kusini. Ingefaa Kwa Serikali kuiondoa Iringa Nyanda za Juu Kusini na...
19 Reactions
260 Replies
14K Views
Taarifa kutoka viunga vya CHADEMA zinasema kwa chini chini kwamba Katibu Mkuu Mnyika hataki tena kuendelea na kazi kama Katibu Mkuu wa Chama hicho. Sababu kubwa ni John Mrema kuingilia na...
17 Reactions
206 Replies
7K Views
Hakuna Hukumu ya Makundi Siku ya Mwisho Siku ya Hukumu Siku ya hukumu ni siku ya hukumu ya mwisho ya Mungu juu ya mwanadamu mwenye dhambi. Biblia inasema kuwa Mungu “ameweka siku ambayo katika...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Tanzania tuna jambo la kujifunza namna ya kuibana serikali iachane na kodi kandamizi zinazopelekea maisha kuwa magumu. Baadhi ya maeneo ambayo kenya wamekuwa wakali ni kodi kwenye mafuta ya kula...
1 Reactions
2 Replies
82 Views
Leo/ jana Rais Samia kafanya tena ile kazi aiwezayo vizuri: kateua na kutengua baadhi ya watumishi wa serikali. Ila safari hii yawezekana kaandika rekodi ambayo haijawahi kuandikwa duniani...
3 Reactions
23 Replies
475 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kuna wakati nilishuhudia kwa macho yangu Mwenyewe watu wakiacha na kusimamisha kazi ili wafuatilie mijadala ya Bunge, nilishuhudia watu wakiwa vikundi vikundi vibanda...
4 Reactions
74 Replies
585 Views
Tumeendelea kufuatilia ili kujua sababu hasa ya Bwana Malissa kukamatwa tena leo na kwamba eti ana kesi mpya huko Kilimanjaro. Katika machache tuliyoyapata ni kuhusika kwa Adolf Mkenda...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
A
Wadau, Mwanza ni Jiji kubwa kwa wingi wa watu na rasmilimali lakini linakubwa na tatizo sugu na kubwa la mgao wa maji ambao haueleweki. Mfano: Nyegezi maji kwa wiki baadhi ya mitaa wanapata...
0 Reactions
5 Replies
64 Views
Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya? Ikulu imekuwa kichekesho...
27 Reactions
225 Replies
10K Views
Kama Hali iko hivo bila shaka Elimu Bure ilishafutwa kimyakimya.
0 Reactions
3 Replies
41 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,904
Posts
49,814,348
Back
Top Bottom