Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Jamani akina dada kuolewa ni heshima kubwa sana kwa mwanamke yeyote yule. Hata uwe na maisha ya kifahari kiasi gani kama huna mume hujakamilika. Ili uolewe kuna mikao (pose) unatakiwa kuwa nayo...
20 Reactions
136 Replies
21K Views
Serikali ya Cuba imethibitisha uwepo wa nyambizi tatu za nyuklia Nchi humo hii inafuatia kauli ya Rais dhaifu wa Marekani Joe Biden kutaka Ukraine ishambulie Russia kwa silaha za Marekani...
6 Reactions
34 Replies
593 Views
Taarifa kutoka viunga vya CHADEMA zinasema kwa chini chini kwamba Katibu Mkuu Mnyika hataki tena kuendelea na kazi kama Katibu Mkuu wa Chama hicho. Sababu kubwa ni John Mrema kuingilia na...
17 Reactions
212 Replies
7K Views
Kutokana na wingi wa watu wanaokaa na kutembelea Kigamboni pamoja na shida ya usafiri kuelekea na kutokea Kigamboni ni wakati sasa wa serikali kufanya maamuzi magumu ya kuruhusu vyombo vya usafiri...
4 Reactions
34 Replies
520 Views
Good morning members. "Kua uyaone".Ni maneno aliniambia marehemu mama yangu.Na kweli nayaona leo.Mimi nguva jike napambana wanangu wasiteseke siku za usoni. Nimenunua kijiko cha...
3 Reactions
4 Replies
8 Views
Aisee katika ishu ya diamond hakuna suala limenikeraa japo Nyumba sio yangu kama Zari kukiri analiwaa ndani ya Nyumba alionunuliwa na...
6 Reactions
261 Replies
12K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
522K Replies
30M Views
Nchi nzima kama sio dunia nzima kwa sasa kilio kikubwa ni vijana kudai hawana "connections" za kupata malisho mazuri. Connections za ajira, biashara au hata ufadhili wa masomo. Mimi nimejitolea...
3 Reactions
16 Replies
395 Views
Hivi kuna mtu nyuma anaangalia kama watu kama Songesha, Nivushe na watoa mikopo kwenye simu kama hizo hela wanazokopesha wanazo keshi? Kwa picha ya fasta fasta hawa jamaa ni zaidi ya benki kuu...
11 Reactions
86 Replies
2K Views
Leo nimeona nishare hii story yangu. Ilikuwa hivi, nilivomaliza chuo nilibaki Dar nikipambana na life. Ndani ya muda kidogo nikapata job bana, mshahara si haba. You can imagine umetoka chuo kwa...
67 Reactions
82 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,926
Posts
49,814,984
Back
Top Bottom