Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwema wakuu! Niende moja kwa moja kwenye mada. Nimekuwa nikitafakari sana juu ya hatima ya maisha yangu na hasa ukizingatia hali ya sasa kwa hapa Tanzania ni mbaya, kwani watu wanaishi maisha...
11 Reactions
77 Replies
1K Views
Ukitaka watoto wazuri wakike lazima ugharamie
10 Reactions
74 Replies
1K Views
Wakuu heshima mbele. Nimetoa elfu 40 kwa sim banking kuja kwenye lain yangu ya simu ili niweze kulipia huduma fulan ambayo nimeshaitumia na ndio nataka kuondoka. Pesa imekatwa kwenye CRDB...
9 Reactions
30 Replies
510 Views
Wanajanvi Salaam, Ni matumaini yangu wanajanvi mko wazima na mnaendelea na harakati za upambanaji wa kutafuta mkate wa familia. Napenda kuleta mlejesho wangu kuhusu safari yangu ya kwenda Mpanda...
49 Reactions
387 Replies
46K Views
Moto umeteketeza chumba kimoja Cha mpangaji katika Mtaa wa Misewe, Kata ya Liwiti wilayani Ilala Dar es Salaam na kupelekea kifo cha mtoto mdogo anayekadiriwa kuwa na wiki Moja. Kwa mujibu wa...
1 Reactions
7 Replies
265 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
522K Replies
30M Views
UJENZI: Let us transform your design ideas into reality: NILE HOUSE DESIGNS (nilehousedesigns on instagram). Karibu tukutengenezee nyumba ya ndoto yako, tuambie unataka nini na sisi tutaboresha...
13 Reactions
271 Replies
41K Views
Tumeendelea kufuatilia ili kujua sababu hasa ya Bwana Malissa kukamatwa tena leo na kwamba eti ana kesi mpya huko Kilimanjaro. Katika machache tuliyoyapata ni kuhusika kwa Adolf Mkenda...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Kwa nyakati tofauti kumekuwa na Viongozi walionukuliwa wakisema "Nchi hii imechezewa sana, Nchi iligeuzwa Shamba la Bibi lakini wahusika hawatajwi. Wapo waliowahi kutoa kauli za Vitisho ikiwemo...
1 Reactions
18 Replies
323 Views
Afisa mtendaji mkuu wa bodi ya ligi, Almas Kasongo amesema msimu ujao 24|25 Video Assistant Referee (VAR) itatumika ligi kuu. Amesema, mfumo wa (VAR) utafungwa kwenye baadhi ya viwanja...
2 Reactions
9 Replies
292 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,910
Posts
49,814,473
Back
Top Bottom