Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu. Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido...
33 Reactions
280 Replies
12K Views
Habari JF. This goes to Makonda. Tukicheka na hivi vijumuia vinavyojiita vya wanawake vitatusumbua sana mpaka kwenye ndoa zetu. Kama kweLI wapo serious waanze kujikemea wenyewe...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ukisikia mtu kaua mpenzi kwa wivu wa mapenzi mara nyingi kama siyo zote ni mwanaume wa kanda ya ziwa au mikoani huko Huwezi kusikia mzaramo. Najiuliza kwann Hawa wenzetu wanawezaje kumudu stress...
22 Reactions
101 Replies
3K Views
ANGALIZO Maelezo yaliyotolewa katika uzi huu ni kwa ajili ya kuelimisha na kutoa taarifa kwa umma na hayapaswi kutafsiriwa kama ushauri wa kisheria. Sheria za umiliki wa silaha zinaweza...
7 Reactions
37 Replies
496 Views
Muda mfupi baada ya RC Makonda kusema hatishwi na wanamitandao wanaompigia makelele anapochapa Kazi, mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amemjibu Ukurasani X Fatma Karume anasema RC...
0 Reactions
8 Replies
87 Views
Naipenda hii. ID lakini ananipuuzia nikilike nyuzi zake yeye alike zangu, kila siku namquote namtaja jukwaani lakini anijibu moyo unauma namuona na wengine anacheka nao anawajibu PM kafunga...
18 Reactions
186 Replies
3K Views
Umri wowote,dini yoyote,kabila lolote, Kama ww ni mweusi au kimbaumbau no thank you!
1 Reactions
6 Replies
42 Views
Habari Vijana na bangi mnaambiwa sio nzuri amsikii Kijana mmoja mwenye jina la kihuni maarufu kama baba jojo[19] amchoma kijana mwenzie kisu na kupelekea umauti wa kijana huyo umri miaka[ 17]...
3 Reactions
19 Replies
337 Views
Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT. Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike...
9 Reactions
60 Replies
2K Views
Wakuu nipo serious kama unatafuta mume either uolewe au tuishi kama wapenzi ni pm huenda tukaendana umri wangu 30's huyu nilokuwa nae kishanuka sitaki kusema kwanini kimenuka karibu NB, hii ni...
2 Reactions
21 Replies
254 Views

FORUM STATS

Threads
1,857,624
Posts
49,723,082
Back
Top Bottom