Habari wanaBodi...
Nimekua mfatiliaji kidogo wa mijadala ya Bungeni hasa michango inayotolewa na wabunge mashuhuri wawili watatu hivi kuhusu Taifa na maendeleo yake Kiuchumi kisiasa na...
Bila shaka mko poa kabisaa. Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu, uwa naona kinyaa sana pale nakutana na mwana flani unategemea mnapiga stori zenu binafsi au tudiscuss mambo ya maana au...
Habarini wanajamvi; wema na wabaya wa mada hii!
Nauliza kama mzazi nina uhuru wa kumkaririsha kidato cha pili mtoto wangu aliyefaulu mtihani wake wa kidato cha pili (FTNA) kwa vile hakufaulu kwa...
Pata shida ndio hautashangaa maamuzi watu wanayoyafanya.
Nilipofikia sasa ni kuanguka, kila linachonizunguka kinapotea yani nipo kwenye ncha ya kufirisika na kinachofatia nitashindwa kuhudumia...
Takwimu zimeonyesha iringa imeongezeka kwa kiasi ukatili wa kinsia.
Ni sabubu gani zinohisiwa kuchochochea ukatili wa kijinsi?
Nini kufanyike ilikupunguza ama kutokomeza ukatili wa kijinisia...
Kuna kitu sijakielewa bado, Iran ni Taifa la kiislamu, Rais ameuwawa na chopa jumapili, lakini mazishi yatafanyika Alhamisi, wakati deen inasema muislamu akifa azikwe haraka tena hukohuko...
Wakuu, kwema.
Ifike mahala tuseme riverside sahivi ndio trending kwa dada poa hapa. Mi sina baya nao, wanakuaga na msaada muda mwingine.
Imagine mbele ya Landmark hotel, mbele ya "sheli" ya...
Nyumba inauzwa kimara Temboni. Bei milioni 30 tu.
Vyumba vitatu kimoja master
Sebule jiko na choo cha public.
Ukubwa wa eneo mita 20 kwa 20
Ukishainunua una malizia kufanya finishing tu
Ina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.