Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu, kwema. Ifike mahala tuseme riverside sahivi ndio trending kwa dada poa hapa. Mi sina baya nao, wanakuaga na msaada muda mwingine. Imagine mbele ya Landmark hotel, mbele ya "sheli" ya...
8 Reactions
24 Replies
45 Views
  • Suggestion
Suala la ukosefu wa ajira hapa nchini Tanzania limekuwa sio stori tena ni suala ambalo linaonekana ni kama changamoto sana kutokana na sababu mbalimbali, lakini andiko langu nitagusia sana katika...
0 Reactions
1 Replies
3 Views
Ndugu naomba msaada wa jinsi ya kujisajili kwenye mtandao x(twitter) kila nikijaribu kujisajili inagoma,asante.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Heshima kwenu wakuu hope mapambano yanaendelea vyema leo ningependa ku share nanyi machache haya kuhusu biashara hapa nalenda zile biashara zinazouza bidhaa ambazo ni scalable hasa upande wa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mimi nikijana wa miaka 27 nilishinda betting kiasi kikubwa tu cha pesa lakini sikuwahi kumweleza mwanafamilia yeyote na wala hakuna anayefahamu, nikaamua kujenga nyumba kupitia zile pesa za...
14 Reactions
73 Replies
1K Views
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake. Nitaleta update zaidi. Wanawake kuweni sana makini...
27 Reactions
515 Replies
17K Views
Nadhani itakua ni nchi ya kwanza duniani kufanyiwa huu mchezo ndani ya White House. Poleni sana majirani huu mtego mlioingia hamchomoki kumamamake
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Ikiwa Serikali yenyewe imekishindwa hiki kisiki cha Mpingo kiitwacho "Watumishi wa Umma" unadhani ni nani ataweza? Wananchi wamekuwa wakipiga kelele sana...
2 Reactions
6 Replies
138 Views
Ndugu zangu wana Jf habari zenu. Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
150 Reactions
13K Replies
4M Views
Nimekaa nikaanza kuzikumbuka Tamthilia za zamani kwenye Tv zetu 1.Life Goes on 2.227 3.Fresh Prince of Bell Air 4....... 5........ endelea...
2 Reactions
464 Replies
86K Views

FORUM STATS

Threads
1,856,439
Posts
49,691,220
Back
Top Bottom