Waziri Januari Makamba amesema hata kama hatumkubali Samia ni wetu hivyo tunatakiwa kuacha siasa hasa kuhusu ziara zake nje ya nchi kwani zimeleta manufaa makubwa kwa nchi.
Waziri Makamba...
Hapa nazungumzia wafanya biashara sio wale wezi wa pesa za wananchi, changamoto inakuja kutafuta mtaji labda umepata milion 5-10, either umekopa au umepewa, changamoto ya kwanza ni kutafuta frame...
Hii itasaidia kupunguza msongamano dsm kwa sababu mikoa husika imesha weka dhamira ya miji hii kuwa na bandari kavu.
2 miji hii imezungukwa na maeneo yenye uzalishaji wa mazao ya chakula ya...
Wakuu habari,
Naombeni ufafanuzi natamani nipate gari la kuanzia maisha nitakalokaa nalo muda mrefu kidogo, ninakoishi kuna milima ya wastani na vumbi la kati.
Je, ni gari gani inanifaa Mimi...
Kama ulkua Haujui, Basi tambua simu unayomilik inaweza kukutambulisha wew ni Mtu wa Aina Gani Kitabia, Nakusogezea Angalia chama lako
1:IPHONE-watu wanaoigiza maisha. kwa Mwanamke anaonekan...
Huu hapa ni Mkutano wa hadhara kwenye Kijiji cha Kinyeto, Jimbo la Singida Kaskazini, uliofanyika leo saa 3 asubuhi .Ikumbukwe kwamba Lissu amekwisha toa angalizo la kufuatiliwa na kikundi cha...
Pamoja na Israel mara kadhaa kujitutumua kwamba karibuni itatangaza vita na Hizbullah lakini vita hivyo kiuhalisia vimekuwa vikiendelea kwa miezi kadhaa sasa sambamba na vita vinavyoendelea Gaza...
Rate ya BoT kwenye kampuni za kukopesha ni 3.5% as a guidance issued by BoT.
A simple study imefanyika kwenye mikopo ya Vodacom kupitia Mpesa and there is huge deviation which is believed to be...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.