Habar wana jamii forum mm ni mama wa watoto wawili na ndoa ya miaka kumi hapa nilipo sijui furaha ya ndoa ni ipi nina mume ambae anajiona yeye ni mkamilifu ila mm hata nifanye nini nianakosea...
Baada ya mwanamke kujua/ kufahamu mume wake anachepuka na kidada fulani jirani,mwanamke anaachika huku akidai hawezi kuvumilia mwanaume amletee magonjwa ya zinaa na UKIMWI
Akiwa huko anakutana na...
Akiwa Singida katika mikutano yake hivi Juzi, Mh. Tundu Lissu alidai tena kwamba, anawindwa na watu wasiojulikana kama ilivyokuwa kipindi cha miaka ya 2016, 2017 pindi akiwa mbunge wa Bunge la...
Habari wakuu, nauza jiko langu hapa(used) linatumia umeme na Gas( Plate mbili umeme na mbili zingine Gas) bado liko sawa sana. Bei Tzs 200k ( Laki mbili) Location-IRINGA.
0747518207
KINAPANGISHWA- CHUMBA NA CHOO NDANI (0679268006)
MAHALI: Ipo Mbezi beach Tangibovu, umbali wa kutembea kutoka kituo cha daladala.
BEI: Tshs 90,000 , Miezi 6
Maji bomba ndani, luku yake, Parking ipo.
Mimi nilikuwa mtumishi wa Halmashauri na nilistaafu kwa mujibu wa sheria baada ya kufikisha miaka 60. Nilipofuatilia mafao yangu hawa wajamaa wakagoma kunilipa wakitoa sababu kuwa mpaka michango...
2025 imekaribia, na ukiingia deep sana goli liko wazi .
CHADEMA yetu hii haijawahi kuwa serious kushika dola .
CCM yao baada ya miaka sitini bado imetubakiza kwenye ufukara ,tumekuwa omba omba...
Mimi nilitamaani mama afanikiwe na bado natamaani!
Mimi ni wale tuliotolewa upinzani kwa 'lazma' na kuniunga CCM..
Sijui leo nina sura gani?
Ila kwasababu sura ya kwanza ilikuwa kusema ukweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.