Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Haijulikani anafanya hivi kwa sababu zipi, kwamba yeye ndio Mkuu bora wa Mikoa yote au labda yeye ni zaidi ya mawaziri, maana tunaona Mawaziri wakisafiri mbali zaidi kwa gari moja tu, na wakifika...
21 Reactions
139 Replies
3K Views
Mdada akitumia neno dear kuni-ddress mm mapema (i.e ndani ya siku 3), namchukulia kama kicheche ambaye anajitongozesha. Hivyo, huwa ninapatwa na hasira sana na kuamua kuifuta namba yake faster.
1 Reactions
6 Replies
42 Views
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake. Nitaleta update zaidi. Wanawake kuweni sana makini...
23 Reactions
430 Replies
12K Views
RC MAKONDA ASIKITISHWA KUONA KISIMA CHA MAJI KILICHOGHARIMU TSH MILIONI 600 LONGIDO HAKIWANUFAISHI WAKAZI WA ENEO HILO Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda , ameonesha hali ya kushangazwa na...
1 Reactions
9 Replies
344 Views
Habari ya muda huu Mimi ni mwanamke mwenye miaka 32, ninahitaji mwanaume wa kuwa nae katika mahusiano tukielewana tufunge pingu za maisha. Sifa zangu ni Mweusi Mkristo Ninafanya bihashara Nina...
7 Reactions
33 Replies
238 Views
Habari zenu wakuu? Kuna hoja hapa naomba kuileta kwenu.. Kama mmejaribu kufatilia, Vijana wengi sana wanathubutu kutoka mikoani na kwenda Dar es salam kutafuta maisha. Wengi wanaenda kutafuta...
3 Reactions
15 Replies
321 Views
Mimi nikijana wa miaka 27 nilishinda betting kiasi kikubwa tu cha pesa lakini sikuwahi kumweleza mwanafamilia yeyote na wala hakuna anayefahamu, nikaamua kujenga nyumba kupitia zile pesa za...
2 Reactions
30 Replies
156 Views
Ndugu zangu watanzania, Ukisikia watu wanafiki,waongo,ndumila kuwili na walaghai basi ni wafuasi wa CHADEMA. Hadharani watakujaza upepo,kukuvimbisha kichwa,kukupa kiburi halafu kumbe nyuma ya...
4 Reactions
115 Replies
1K Views
Kuipeleka fainali ya FA Zanzibar ni sawa na kuipeleka fainali hiyo Kenya, Somalia ama Uganda, hakuna timu yoyote kwenye Nchi ya Zanzibar inayosimamiwa na TFF kama zilivyo Nchi nilizozitaja Wala...
15 Reactions
68 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,856,405
Posts
49,689,819
Back
Top Bottom