Rehema Chalamila (Ray C) Mei 15, 1982, Iringa - Tanzania.
Kabla ya kuingia kwenye Muziki, alikuwa Mtangazaji wa East Africa Radio, baadaye akahamia Clouds FM zote za Dar es Salaam.
Alianza...
Huyu mrembo wangu ananihudumia kila siku kwa tendo, na ananiachia nijipigie magoli idadi ninayotaka mpaka pale nitakapo choka mimi mwenyewe; nimejikuta ndani ya wiki mbili nimekuwa na kitambi...
hawa viongozi wazoefu upinzani, ndio pekee turufu muhimu iliyobakia Tanzania, kuunusuru upinzani dhaifu sana uliopo na uliogawanyika pakubwa na kupoteza dira na uelekeo kabisa....
muungano wa...
Wasalaam, Jf.
Wakati Tundu AM Lissu akiamua kuasisi chama kipya cha siasa na kuifanya Tanzania kuwa na jumla ya vyama 20 vya siasa akianzia kukisimika chama hicho kipya mkoani kwake Singida...
Wakuu nimechoka toka jana sijalala...
Nahisi kuchanganyikiwa...
Nahisi maluwe luwe .
Sielewi kwanini haya yanatokea kwangu...
Nimechoka sasa nimechoka.
Kama mbwai iwe mbwai tuu...
Naomba kufahamu ni hospital gani au Dr gani anaweza saidia tiba ya tezi dume.
Mzee wangu ameonekana na tezi dume kwa vipimo vya awali.
Mgonjwa yupo Morogoro.
Wakuu kuna taasisi moja ya umma nimeenda kupewa huduma nikapewa control namba nilipie ila nilichoambulia kila wakala anasema hii haiwezekani kulipa. Nikarudi kwa taasisi husika nikawapa cash...
Naombeni msaada wa mimi mwenyewe : ni kwamba nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na nimepata division 2 ya 21 nataka kwenda chuo ila mzazi wangu ananilazimisha nifanyaje sasa ili niweze kwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.