Aisee! Wakati baadhi ya watanzania kila uchwao wakilalamika ugumu wa maisha mtaani wakati huo huo kuna baadhi ya watanzania kila uchwao wananunua magari ya kifahari na gharama kubwa mno. Kama wewe...
Kijana kuwa makini na hawa wazee, wazee ni watu wa bad sana, hasa kwa sisi wapambanaji ambao wapenzi wetu wapo mbali.
Kizazi chetu hiki Love Distance ni ngumu sana na hazidimu sababu...
Kwa mda mrefu sana Toka wakati wa chacha wangwe zitto n.k chadema kimekuwa chama rigid na kisichokubali kabisa kukosolewa hasa kupitia wafuasi wake ambao ukijaribu kukosoa utashambuliwa sana
Sasa...
Wandugu,
Thread hii ni mahususi kwa chochote unachokumbuka enzi unasoma shule ya msingi.
Mimi binafsi nakumbuka enzi zile nasoma Issale primary school kule wilayani Mbulu miaka ya 1986-1991...
Friends and Our Enemies...
Kama mtakumbuka hapo nyuma katika harakati za TUNDU LISU, alipopita Iringa kwenye ziara zake alishutumu vikali matumizi ya fedha za RUSHWA katika uchaguzi wao wa ndani...
Exim Bank ya Korea imeikopesha Serikali ya Tanzania zaidi ya Bilioni 400 Kwa Ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kisasa na Chuo Cha Mafunzo(Mfano wa Muhimbili-Mlonganzila) Zanzibar.
---...
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus pamoja na viongozi wengine wa Serikali wanazungumza na waandishi wa Habari Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 6, 2024...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.