Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Raisi Samia alipokelewa kikawaida tu wakati Mfalme wa Uarabuni ndege yake ilipoingia tu Anga la Korea ilipokelewa na ndege za kijeshi na kusindikizwa Hadi ilipotua Maskini ana mapokezi yake na...
1 Reactions
5 Replies
70 Views
Baada ya muda mrefu wa kukomaa na candlestick na video za YouTube rasmi nimejitoa kwenye biashara hii ya forex. Lengo la uzi huu ni kuwakaribisha newbie kwenye hii biashara ya forex inayosadikika...
37 Reactions
778 Replies
40K Views
Kiungo huyo amechukua kiasi hicho cha pesa ni moja wapo ya kipengele cha mkataba wake na Azam fc kila msimu akifikisha magoli 10 na zaidi atakuwa akipata milioni 90. kwahiyo tuseme Feisal katika...
5 Reactions
25 Replies
996 Views
Madame President Samia Suluhu Hassan went to the Korea-Africa heads meeting,but is it really fair for African Presidents to be summoned like children by a single head of state?It should be noted...
2 Reactions
6 Replies
202 Views
MAREKANI: Mahakama imeagiza Rais wa zamani, Donald Trump kumlipa fidia ya zaidi ya Tsh. Bliloni 211, mwanamke aliyetambulika kama E Jean Carroll ambaye alimshtaki Trump kwa madai ya kumnyanyasa...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
522K Replies
30M Views
Hawa viongozi wazoefu upinzani, ndio pekee turufu muhimu iliyobakia Tanzania, kuunusuru upinzani dhaifu sana uliopo na uliogawanyika pakubwa na kupoteza dira na uelekeo kabisa. Muungano wa aina...
0 Reactions
4 Replies
74 Views
Wakuu nimechoka toka jana sijalala... Nahisi kuchanganyikiwa... Nahisi maluwe luwe . Sielewi kwanini haya yanatokea kwangu... Nimechoka sasa nimechoka. Kama mbwai iwe mbwai tuu...
8 Reactions
97 Replies
837 Views
Mnashindwa wapi kusoma saikolojia za watu.Yani kunapokuwa na matukio ya komunyo ya kwanza au kupaimara mnawakamua waumini michango hadi wanachukia dini. Halafu siku ya tukio la komunyo bado tena...
53 Reactions
169 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,642
Posts
49,807,757
Back
Top Bottom