Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

DAR ES SALAAM: KAIMU Kocha Mkuu wa @taifastars_ Hemed Suleiman Morocco ameita kikosi cha wachezaji 34 kujiandaa na mchezo wa Juni mwaka huu dhidi ya Zambia, kuwania kufuzu Kombe la Dunia mwaka...
1 Reactions
8 Replies
99 Views
Taasisi ya kupambana na Rushwa jijini Arusha imesema uchunguzi wa awali umebaini watumishi wawili Jijini Arusha kuhusika na kutengeneza control number bandia na pia kutengeneza kampuni hewa ili...
1 Reactions
4 Replies
5 Views
My Take Beatrice wa Moshi amelipa Ile ya Penina wa Goba.Ubaonunasomae 1=1,ngoma hii Bado hakuna mshindi 😆😆😆😆😆 ======= Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Beatrice Elias (36), mkazi...
7 Reactions
180 Replies
3K Views
Naipenda hii. Id lkn ananipuuzia nikilike nyuzi zake yy alike zangu, kila siku namquote namtaja jukwaani lkn anijibu moyo unauma namuona na wengine anacheka nao anawajibu pm kafunga nlmwamba...
10 Reactions
76 Replies
1K Views
Jamaa analipigania Taifa lake huku mkewe analiwa ovyo.DNA imeonyesha watoto wote siyo wa jamaa isipokuwa mwanamke kazaa na mchepuko ambaye ni baba mchungaji.
1 Reactions
4 Replies
5 Views
Iko hivii; Hapa mtaan kuna office za kubeti kwa hyo mara nyingi huwa nashinda hapo. Sasa kuna jamaa imetokea tu tumezoeana kwa sababu kila sku tunakutana humo ndanin(simjui jina wala sina details...
18 Reactions
97 Replies
2K Views
Fainali ya ligi ya mabingwa 2nd leg inapogwa leo saa mbili kamili usiku
3 Reactions
38 Replies
1K Views
Nahitaji mwanaume wa kunitimizia hili.na pia awe na shida na kama hii pia yaani Nawe anahitaji mtoto. I have been so lonely,naamini mtoto atakua faraja yangu. Na kunisaidia kuishi Maisha yenye...
21 Reactions
176 Replies
1K Views
Kwa mfano tuna mpango wa kujenga vijiji au miji ya kisiasa kwa mwaka. Kwa fedha hii Tshs billion 500 au Trillion 1 tunaweza jenga flat ngapi ? Au nyumba ndogo ngapi? Na ipi ni nafuu na kisasa...
0 Reactions
1 Replies
51 Views
Wanaukumbi. Watanzania ambao wamejitolea michango yao na kuhamua kununua vyakula na madawa na misaada mingine kwa watu wa Palestina kama unavyoona hiyo picha wakiwa ndani ya Gaza bila kuogopa...
4 Reactions
17 Replies
380 Views

FORUM STATS

Threads
1,857,422
Posts
49,716,504
Back
Top Bottom