Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Haijulikani anafanya hivi kwa sababu zipi, kwamba yeye ndio Mkuu bora wa Mikoa yote au labda yeye ni zaidi ya mawaziri, maana tunaona Mawaziri wakisafiri mbali zaidi kwa gari moja tu, na wakifika...
23 Reactions
140 Replies
3K Views
Mbunge wa Kahama Kishimba amesema 90% ya Wataalam wetu wanajua Kusoma na Kuandika lakini hawana Maarifa yoyote Kishimba amesema mambo mengi ya maendeleo Kule chini yamekwamishwa na hao wanaojiita...
15 Reactions
86 Replies
2K Views
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake. Nitaleta update zaidi. Wanawake kuweni sana makini...
23 Reactions
431 Replies
12K Views
Mdada akitumia neno dear kuni-ddress mm mapema (i.e ndani ya siku 3), namchukulia kama kicheche ambaye anajitongozesha. Hivyo, huwa ninapatwa na hasira sana na kuamua kuifuta namba yake faster.
1 Reactions
7 Replies
42 Views
Habari wakuu...... Mimi sio Mwandishi mzuri sana naenda kwenye Mada husika hivi mtu akishahitimu Chuo si anakuwa amemaliza. Na haitajiki kurudi mara kwa mara chuoni. Sasa swali lilipo mbona hizi...
0 Reactions
5 Replies
29 Views
Serikali inatarajia kutumia Tsh. 31,329,180,963.16 kwaajili ya Ukarabati wa Uwanja wa Michezo wa Benjamin Mkapa kwa awamu ya kwanza ambapo hadi kufikia Aprili 2024 Tsh. Bilioni. 7.44 zimelipwa kwa...
1 Reactions
14 Replies
363 Views
Nimesikitika sana kweli mtegemea cha jirani hufa masikini. Niliwazoea sana hasa huyo mke wake ilikuwa lazima atamtuma beki tatu aniletee msosi kwenye hotpot.
7 Reactions
6 Replies
239 Views
Habari wakuu ni matumaini yangu wote ni wazima,Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24,naomba msaada natamani sana kwenda kufanya kazi ulaya, elimu yangu nimeishia four 4,pasport ninayo naomba...
11 Reactions
40 Replies
553 Views
Habari wanaBodi... Nimekua mfatiliaji kidogo wa mijadala ya Bungeni hasa michango inayotolewa na wabunge mashuhuri wawili watatu hivi kuhusu Taifa na maendeleo yake Kiuchumi kisiasa na...
3 Reactions
8 Replies
131 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,406
Posts
49,689,865
Back
Top Bottom