Karibuni kwenye mada.
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.
Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji...
A Parody* of Presidential Eloquence – Kejeli ya Umahiri wa Majibu ya Rais
Na. M. M. Mwanakijjii
A Parody: (Dictionary.com)
–noun 1. a humorous or satirical imitation of a serious...
Nchi nzima kama sio dunia nzima kwa sasa kilio kikubwa ni vijana kudai hawana "connections" za kupata malisho mazuri. Connections za ajira, biashara au hata ufadhili wa masomo. Mimi nimejitolea...
Mfumo wa Ajira Nchini kwetu umeshindikana kabisa hasa kwa tusio na Koneksheni kabisaa!
Mfano: nimewahi kuitwa kwenye interview nyingi tu za serikalini ila zote zinafanywa kwa ushahidi tu ili wale...
Mchungaji Gwajima alimwambia Lissu kuwa kama angeenda Dodoma basi angepigwa risasi.
Hiyo ilikuwa ni siku moja kabla ya Lissu hajapigwa risasi na baada ya kukaidi na kwenda Dodoma kweli akapigwa...
Position: Content Manager/Moderator (7)
Location: Dar es Salaam, Tanzania
Organization: JamiiForums
About Us:
JamiiForums is a Non-Governmental Organization in Dar es Salaam, Tanzania, dedicated...
Aliyekuwa msanii wa hiphop, Mwana Fa kwenye mahojiano amesema kwamba kama sio mazishi yeye hawezi kumchangia yeyote harusi yake.
"Mimi huwa sichangi harusi ya mtu, kama ni mazishi nitachanga kwa...
Kamanda Tundu Lissu amekanusha madai yaliyotolewa hapo nyuma kidogo na Lema kwamba Mbowe ndio aliyeshika chupa ya damu wakati akipelekwa Nairobi kwa matibabu.
Amesema aliyeshika chupa ya damu...
Habari za majukumu wakuu, naomba kufahamu bei ya gunia la dagaa wakavu toka mwanza, musoma au bukoba na gunia ilo lina kg ngapi. Biashara hii nataka kuifanya iringa hivyo naomba kujua na gharama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.