Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hello..! warembo wa humu. Unakuta umeuelewa hata mwandiko wa mdada unamfata pm mbadilishane hata mawazo unakuta kafunga pm. Aaaaarrrghh.... Msitufungie huko pm basi. Uzi tayari.
4 Reactions
216 Replies
8K Views
Masaa 2 yaliyopita mfungaji bora wa ligi kuu msimu wa 2023/2024 na mchezaji bora namba 2 Stephan Aziz Ki ametumia ukurasa wake rasmi wa Instagram kuwaaga mashabiki, wanachama, viongozi, wachezaji...
3 Reactions
37 Replies
1K Views
Mimi Nimepita zaidi ya miaka 60 nimeshazitumia hizo pesa tangu Enzi wa Baba wa Taifa Mwalim Nyerere kisha akaja Mzee Wa Ruksa Marehemu Mzee Mwinyi.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wasalaam, Jf. Wakati Tundu AM Lissu akiamua kuasisi chama kipya cha Siasa na kuifanya Tanzania kuwa na jumla ya vyama 20 vya Siasa akianzia kukisimika chama huko kipya mkoani kwake Singida...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
44 Reactions
52K Replies
3M Views
Kweli Dar es Salaam imejaa vituko, vitimbi na watu wenye matatizo ya akili. Hivi inawezekanaje mwanamke uliyepevuka kiakili na utimamu wa mwili unaenda kupanda usafiri wa umma(daladala au...
1 Reactions
26 Replies
418 Views
Hii ni orodha ndefu ya baadhi ya viongozi wa vyama visivyo vya ukombozi waliokaa muda mrefu zaidi katika madaraka ya vyama vyao kwa mafanikio makubwa sana. 1. Fidel Castro- miaka 46, Communist...
1 Reactions
19 Replies
211 Views
Hello hello hellooooooo. Mko salama jamani😉😉 Leo ni birthday ya Chakorii. Karibu tusheherekee pamoja 🫶🫶 Mtoto ninapokea zawadi🥳🥳🥳 Huhuhuuuu🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️ 🥂🥂🥂🥂
13 Reactions
47 Replies
405 Views
1. Kilimanjaro 2. Kagera 3. Tanga 4. Ruvuma 5. Manyara
0 Reactions
1 Replies
39 Views
Kama ulkua Haujui, Basi tambua simu unayomilik inaweza kukutambulisha wew ni Mtu wa Aina Gani Kitabia, Nakusogezea Angalia chama lako 1:IPHONE-watu wanaoigiza maisha. kwa Mwanamke anaonekan...
20 Reactions
78 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,616
Posts
49,807,059
Back
Top Bottom